TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

Nimekubali kweli unanipenda. waache wanayosema na waseme. picha nzuri umenipamba sana asante..... natamani kusema .... i....u.

Sema tuuu...shem wetu mupya afurahi.
Sipati picha misuli inavyotunishwa.
 
mapenzi hayana usomi mama, hata kuku anayajua, japokuwa kila tetea anadandia....... Wapi Erickb52 kidogo wewe nakufananisha na jogoo!!!!!!!

Hahahaaa nashukuru kwa kuniona JOGOO coz hapa una maanisha hata Arushaone bado anasuasua dadadeeeki chezea b52 weewe!
Asante binamu nyama ya hamu
 
Last edited by a moderator:
Asante. nimependa nywele misuko ya kinigeria au ghana au hapo zaire asante. Nimependa shingo ulivyonipamba kuliko hata wale dada zake mr ebo. nimependa kanguo. nimependa blaki beauty waoon. Nimejua umenipenda na ndo maana ukanipamba neno langu kwako ni ...ASANTE SANA...

Hao wengine watapatapa tu,
 
Hahahaaa nashukuru kwa kuniona JOGOO coz hapa una maanisha hata Arushaone bado anasuasua dadadeeeki chezea b52 weewe!
Asante binamu nyama ya hamu

hahahaaa si unajua jogoo hana formula maalum, yeye hata nduguze huwapandia...... Baby wangu hanaga hayo mambo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom