TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

Bibi kama wewe hujakabidhiwa moyo basi huyo mwandani wako laghai kuna aliyemkabidhi; bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi mwache Mamndenyi ale vyake kwa kituo!

hahahaaa!!!!!! Ngoja ninyamaze msijenitia makwenzi bure
 
Last edited by a moderator:
Hureeee Asante sana Chocs kwa kumtambua Arabela km mke mwenza wako!
Haya ninunulieni mume wenu kanzu nzuri!
Hahahahahaha...hehehehehehe, nimechekaje mpaka waliopo karibu na mimi wananishangaa
Haya mume usijali na marashi utapatiwa,lol.... Arabela umeridhia mama....naona Erickb52 anataka kwa nguvu zotee
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaha...hehehehehehe, nimechekaje mpaka waliopo karibu na mimi wananishangaa
Haya mume usijali na marashi utapatiwa,lol.... Arabela umeridhia mama....naona Erickb52 anataka kwa nguvu zotee
Hahahaaa jamani kwani we bby hupendi kuwa na Arabela ? Nampenda sana coz ni mstaarabu sana na hata ukienda kumalizia masomo yako UK atakusaidia kunitunza na kulinda dhidi ya akina mandenyi na BADILI TABIA na wenzao wenye tabia kama zao!
Relux eeeh
Mwaaaah
 
Last edited by a moderator:
Lady doctory ndo ujue mambo ya mujini yalivyo;
unafikiria kuingia siasani ni kirahisi rahisi tu;
tulioweza kujiingiza tuacheni tule mema ya nchi yetu kwanza.

mtumeee!!!!!! We mbaba una manenoo,,,,,, kaah!!! Nikitoka hapa naomba mtie kufuri mlangoni maana sitarajii kurudi!!!!!

Cc: Mamndenyi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom