Lady doctormtumeee!!!!!! We mbaba una manenoo,,,,,, kaah!!! Nikitoka hapa naomba mtie kufuri mlangoni maana sitarajii kurudi!!!!!
Cc: Mamndenyi
Lady doctor
jamani vibaya wamsusa shosti wako Mamndenyi; siku ya kutoka mwari mguu atatokea kwako ukimsusa nani atampamba?
Mamndenyi
Una maneno matamu wewe
Una maneno matamu wewe
Dah mi ndo nilifurahi sana Arabelakwanza my Chocs aliposema nliona kama ndoto
Dah mi ndo nilifurahi sana Arabela
Nimeamua kubaki na ninyi wawili tu ili tujenge familia sasa maana haya mambo ya dunia hayaishi kamwe.
Nawaomba pendaneni kama ninavyowapenda....naahidi kuwa na mapenzi ya dhati kwenu....mkisikia kashafa yoyote juu yangu mniache!
Love you Chocs na Arabela
Cc: Baba V Mr Rocky nitonye zubedayo_mchuzi Arushaone
Bcc: Mamndenyi
Mmmmh,
una hila kama nini wewe baba naniii.
Sawa tu lakini.
..............
...........Haitimae Mamndenyi ajibu mapigo kwa kunitupia kwanza picha yake ili iwe pambo na pale napo mkosa tu iwe kumbu kumbu tosha kwangu.
Angalia mwenyew hapo alikuwa katoka saloon acha weeeeeeeeeeh.....
109147
Kweli wajinga ndio waliwao, yaani wenzio wanakula tundi wewe unafurahia picha...!??
Hahahahaaa acha kumpa pressure Michelini letuKweli wajinga ndio waliwao, yaani wenzio wanakula tundi wewe unafurahia picha...!??
Umeliafiki hili bidada?!! zubedayo_mchuzi anataarifa hizi?kwanza my Chocs aliposema nliona kama ndoto