Chocs
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 8,447
- 4,842
Hivi unajua Arabela alikua na ndoa na yule Zubedayo?!!
Yakikupata ya kukupata bby mi simo!!!
Yakikupata ya kukupata bby mi simo!!!
Dah mi ndo nilifurahi sana Arabela
Nimeamua kubaki na ninyi wawili tu ili tujenge familia sasa maana haya mambo ya dunia hayaishi kamwe.
Nawaomba pendaneni kama ninavyowapenda....naahidi kuwa na mapenzi ya dhati kwenu....mkisikia kashafa yoyote juu yangu mniache!
Love you Chocs na Arabela
Cc: Baba V Mr Rocky nitonye zubedayo_mchuzi Arushaone
Bcc: Mamndenyi
Last edited by a moderator: