TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

TAARIFA:Mamndenyi aanza kujibu mapigo....angalia mwenyewe

Erickb52 sijui ni wivu sijui ni roho mbaya
wacha watu wapate hewa ya oksgeni kwenye mioyo yao
isuuzike; we vipi dogo lakini;

ujue i am on the way kuja hapo kwenu
safari hii nitamtafuteni woooote hadi mtalaka wangu,


Anaishi temeke...nyumba namba anavijua Mamndenyi tu.
 
Last edited by a moderator:
There are currently 3 users browsing this thread. (2 members and 1 guests)

zubedayo_mchuzi,
Mamndenyi

nahisi kuna mtu anachungulia hapa....
 
loooh...... Mabwaku!!!!!!! Watu kwa kujitoa muhanga hamjambo!!!!! We moyo wako hauta chemshwa wala kukaangwa ila utaLIPULIWA (mmmh nahisi nimejiova saizi,kwa kumsemea Mamndenyi)

please slow down down constr ahead
 
Last edited by a moderator:
loooh...... Mabwaku!!!!!!! Watu kwa kujitoa muhanga hamjambo!!!!! We moyo wako hauta chemshwa wala kukaangwa ila utaLIPULIWA (mmmh nahisi nimejiova saizi,kwa kumsemea Mamndenyi)

Bibi kama wewe hujakabidhiwa moyo basi huyo mwandani wako laghai kuna aliyemkabidhi; bahati ya mwenzio usiilalie mlango wazi mwache Mamndenyi ale vyake kwa kituo!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom