ni hasira tu jaman
khaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
hapa kutuweka pamoja hiv manake ni kwamba?
We endelea kuchonga ukikuta vifanyio havipo utanyamaza mwenyeweuyu mdogo wangu ametoka huko mashariki mwa kongo kwenye m23 kakurupushwa hajui kinaendelea nini jamvini, kamwacha Chocs hapa si tunamtunza analalamika eti mwalimu haki iyo?
Haya muke ya zubedayo_mchuzi,usiku mwema
Mbona hueleweki my dear?
swadaktaaa my dia
Mamndenyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii..............???????ha ha haaa
haya
loooh
Mbona hueleweki my dear?
fafanyua bana
usije nivunjia ndoa mie hujui mume wangu yupo humu humu ala!
NATAKA SREDI YA UFAFANYUZI
.......chukua kawimbo haka kadogo tu...
......na mume wangu yuko hapa hapa
ameniruhusu nicheze muziki wa kwetu eeeeh.......