TAARIFA:.......Mamndenyi UNatafutwa na ZUBEDAYO_MCHUZI

Baba V unanitafuta ubaya eeeh
We endelea uone dawa yako

Nikutafute ubaya mimi..!? ngoja polisi wa Arusha wakudabue ndo utajua anaekutafuta ubaya ni nani!? na siku hizi mlivyojianzishia kujíita mabilionea... hakuna rangi utaacha ona mwaka huu...
 
Last edited by a moderator:
Mi naona ila mwenye kesi ya kujibu ni Kaizer hivi siku hizi yuko single baada ya CUTE kuzama ughaibuni!?

kwa hiyo kama yuko single ndo alikwambia anataka kuwa dabo na mwalimu wake! Kaizer kuja hapa na essay yenye kushiba nyama na mifupa yenye akili
 
Last edited by a moderator:
kwa hiyo kama yuko single ndo alikwambia anataka kuwa dabo na mwalimu wake! Kaizer kuja hapa na essay yenye kushiba nyama na mifupa yenye akili

hahah mwalimu snowhite wala hakuan haja ya essay...huyu dogo Erickb52 tushamzoea....sijui kafichwa wapi hajui yanayojiri so ana guess tu

hivi leo ni jumangapi (nisijepitiliza mitihani inakaribia ujue)
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Nikutafute ubaya mimi..!? ngoja polisi wa Arusha wakudabue ndo utajua anaekutafuta ubaya ni nani!? na siku hizi mlivyojianzishia kujíita mabilionea... hakuna rangi utaacha ona mwaka huu...

Hahhahahaaa polisi ni wetu weweee
Yan kabla hawajafanya lolote naletewa taarifa niliko na mkakati wako wote.
Arusha iko kiganjani na polisi wake wote
 
hebu soma tena swali mwalimu? kuna mtu amekupa zanzi asubuhi hii? tema tumchape

hahahahhah zanzi zingine zimechanganywa na ulaka ujue!
cha!
ila kweli kwanini nahodha wa ngalawa anakaa nyuma?
akikaa mbele safari hendi?
 
hahahahhah zanzi zingine zimechanganywa na ulaka ujue!
cha!
ila kweli kwanini nahodha wa ngalawa anakaa nyuma?
akikaa mbele safari hendi?

haaa hapo sawa, sasa hili swali linaenda kwa Erickb52, akiendelea na huo mchezo wake huo wa kudhani hapa sina uelekeo....eti mwalimu wangu...kweli?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…