TAARIFA:.......Mamndenyi UNatafutwa na ZUBEDAYO_MCHUZI

hahahahhah zanzi zingine zimechanganywa na ulaka ujue!
cha!
ila kweli kwanini nahodha wa ngalawa anakaa nyuma?
akikaa mbele safari hendi?

Hahahaaa ya nahodha yaache tu ni siri nzito sana
 
eti anataka kuniunganisha kwenye mtandao wake

kweli wenye mitandao huwa hawatosheki

hatuwezi kukubali mimisa...haiwezekani...huyu tunammudu ngoja nichungulie tena orodha yake ( a wish list of course LOL)
 
Last edited by a moderator:
hatuwezi kukubali mimisa...haiwezekani...huyu tunammudu ngoja nichungulie tena orodha yake ( a wish list of course LOL)

Hahahahaaaa kumbe nasikia hata wewe ni mshika pembe tu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…