Taarifa Muhimu kwa JF!.

Mate yananitoka mm jamani mnavyotaja heineken
 
Unastaafu kunywa pombe ili iweje sasa
 
Khaaa huna tofauti na budege unajiokotea tu ukienda club
 
Yani nilikua selective balaaa!.. hata sambusa na tambi nilikua sili nazo!.
Me na ishu zozote za Utumbo hunilishi!!... ndizi utumbo ukinipa nakutengea wote pembeni nakula ndizi, nahisi kama nakula condom vile 😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti condom nimecheka
 
Anamaanisha kuna Vitabu vya dini vimezuia kula nguruwe ila siyo Kitimoto, kwa maana Kitimoto ni mchanganyiko Wa vitu vingi,

Ni kama Vitabu vya dini vinavyozuia kutumia vilevi, ila Ni halali kupigwa nusu kaputi au kutumia panadol kwa wale waliopitia organic chemistry na immunology watanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…