Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
kaninyima Papa 🙁
PAPA PAPA 😀
Nakupa papa bebe jamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kaninyima Papa 🙁
PAPA PAPA 😀
Nakupa papa bebe jamani
Mimi huwa nilishajaribu pombe kibao, mpaka kufikia hiyo conclusion.
Na kila nikijaribu naona sipati taste ninayopata huko.
Mfano Safari, nina zaidi ya miaka 15 nainywa, naweza kuiacha hata mwaka lakini ntarudi tu, ni undisputed kwenye ladha.
JD ni umaskini tu lakini kwangu ni fav whiskey.
Konyagi huwa nikiinywa vizuri kesho yake tumbo linafunguka, so naitumia kama dawa.
Heineken haihitaji maelezo.
Heineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.
Safari ndio bia yangu ya kwanza baada ya kutoka tumia Double Punch!.
Ila mpaka nastaafu nilikua nimeweka mkataba wa kudumu na Ndovu special malt![emoji39]...
Kustaafu kugumu acha tu, hasa ukutane na kamati ya viwanda vya breweries!..
Nilipokuwa mlevi nilikua najiona msafi zaidi ya sasa [emoji23] yani nilikua najipanga hasa wakati wa kwenda kwenye code!..
Labda kwa vile nilikua najua sitarudi mwenyewe nitakua na mgeni!..
Ila Pombe zilikua zinanikondesha sana mana nikitoka kunywa sili chochote zaidi ya wali halafu asubuhi sikuwahi kuwa na hangeover toka siku flani nilikunywa cocktail imemixiwa dry gin kibao nikaamka saa 11 jioni[emoji23].
hahaa kumbee basi unaipasha au kaanga na vitunguu, ukimaliza na kapilipili balaa [emoji23].
Naomba date na wewe, nikakulishe sausage!😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti condom nimechekaYani nilikua selective balaaa!.. hata sambusa na tambi nilikua sili nazo!.
Me na ishu zozote za Utumbo hunilishi!!... ndizi utumbo ukinipa nakutengea wote pembeni nakula ndizi, nahisi kama nakula condom vile 😉
Mate yananitoka mm jamani mnavyotaja heineken
Mpe wick jamani [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nakupa papa bebe jamani
Aaah Don ndio nini sasa unaokokaje kwa mfano halafu unamwachia nani gambeHahaha, mimi naokoka.
Nampa kumnyima mtu kitu unacho dhambi halafu hulipii vat
Mpe mpee[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Nampa kumnyima mtu kitu unacho dhambi halafu hulipii vat
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We fwala kweli kumkubali kwako ndio anikule nimecheka mm
@Wick namkubali mno,anachopenda nakifurahia kuwa nae tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] We fwala kweli kumkubali kwako ndio anikule nimecheka mm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Usiniangushe ,halaf sijui kaenda wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyo ni kitimoto kwani we huoni mkuu[emoji23][emoji23]kwahy we mtoa mada ni kitimoto o nguruwe ?
Aaah Don ndio nini sasa unaokokaje kwa mfano halafu unamwachia nani gambe