Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

Mate yananitoka mm jamani mnavyotaja heineken
Mimi huwa nilishajaribu pombe kibao, mpaka kufikia hiyo conclusion.

Na kila nikijaribu naona sipati taste ninayopata huko.

Mfano Safari, nina zaidi ya miaka 15 nainywa, naweza kuiacha hata mwaka lakini ntarudi tu, ni undisputed kwenye ladha.

JD ni umaskini tu lakini kwangu ni fav whiskey.

Konyagi huwa nikiinywa vizuri kesho yake tumbo linafunguka, so naitumia kama dawa.

Heineken haihitaji maelezo.
 
Unastaafu kunywa pombe ili iweje sasa
Heineken nilikua nakung'uta kama mwizi hivi!.
Safari ndio bia yangu ya kwanza baada ya kutoka tumia Double Punch!.
Ila mpaka nastaafu nilikua nimeweka mkataba wa kudumu na Ndovu special malt![emoji39]...
Kustaafu kugumu acha tu, hasa ukutane na kamati ya viwanda vya breweries!..
 
Khaaa huna tofauti na budege unajiokotea tu ukienda club
Nilipokuwa mlevi nilikua najiona msafi zaidi ya sasa [emoji23] yani nilikua najipanga hasa wakati wa kwenda kwenye code!..
Labda kwa vile nilikua najua sitarudi mwenyewe nitakua na mgeni!..
Ila Pombe zilikua zinanikondesha sana mana nikitoka kunywa sili chochote zaidi ya wali halafu asubuhi sikuwahi kuwa na hangeover toka siku flani nilikunywa cocktail imemixiwa dry gin kibao nikaamka saa 11 jioni[emoji23].
 
Yani nilikua selective balaaa!.. hata sambusa na tambi nilikua sili nazo!.
Me na ishu zozote za Utumbo hunilishi!!... ndizi utumbo ukinipa nakutengea wote pembeni nakula ndizi, nahisi kama nakula condom vile 😉
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Eti condom nimecheka
 
Anamaanisha kuna Vitabu vya dini vimezuia kula nguruwe ila siyo Kitimoto, kwa maana Kitimoto ni mchanganyiko Wa vitu vingi,

Ni kama Vitabu vya dini vinavyozuia kutumia vilevi, ila Ni halali kupigwa nusu kaputi au kutumia panadol kwa wale waliopitia organic chemistry na immunology watanielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom