Taarifa Muhimu kwa JF!.

Taarifa Muhimu kwa JF!.

Wick

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
8,313
Reaction score
12,170
Kumekuwepo na upotoshaji mkubwa sana wa watu kuchanganya NGURUWE na KITIMOTO... Kwa taarifa yako hivi ni vitu viwili tofauti..
NGURUWE ni mnyama mmoja mweupe mchafu mchafu ambaye anapatikana sana sana vijijini wakati KITIMOTO ni nyama rosti yenye ndimu na pilipili pembeni. Mara nyingi huliwa na ndizi ama ugali na kushushiwa na soda, juice au pombe!..

Nice Lunch!.
 
Nguruwe namfahamu ila kitimoto mi nilidhani ni kiti chenye umoto yani chenye Bunsen burner.
 
Back
Top Bottom