Shem mie TA mwenyeji na maeneo ya kule nilikuwa napita sana miaka fulani ya 1999-2000 hapo...usiniulize nilikuwa napita kwenda wapi hahahah
mi yangu safi ...nalala huko
hivi hatusafiri tena jamani? nimewamiss hadi tumbo linauma
ila madam b ujue ugoro unaweza kutema kizazi nje?Hahaha.
ila madam b ujue ugoro unaweza kutema kizazi nje?
yupo yaeda mbonaKwani Mamaa ya Prado alisharudi London?
ahahaaaa hivi unashoneka kweli?Si bora hata ukikitema kizazi, utaomba mtoto wa jirani ulee...
Kama spring zako za down zimelegea, waweza fumuka mnduku.
hivi hatusafiri tena jamani? nimewamiss hadi tumbo linauma
Shem wewe tena.
Nilipata stori yako kuwa ulikuwa unam-mendea dada mmoja wa kihindi, alikuwa pale Ekenfodi.
ahaaa sijachoka kuishi bwana...Iko bhana! Ila nyie wa Dar nendeni Ntwara!
ahahaaa hakuna njiaTwendeni Mtwara...
ahaaa sijachoka kuishi bwana...
ahahaaaa hivi unashoneka kweli?
Hahahah...nilikuwa namfundisha twisheni