Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

HABARI ZENU WOTE.

Bila kupoteza muda napenda kumuaga my wife Arabela kuwa nasafiri kidogo naelekea ntwara,kuna shughuli ya kufanya huko.Ntarudi baada ya siku tatu.

Lakini ntakapo rudi ntatoa adhabu kwa yale majina ulonipa kuwa ndio wanaokusumbua sana kila siku iendayo kwa Mungu ntashughulika nao ipasavyo,nimeaaacha kikundi kikazi kinafatilia Taarifa zao.

Hawa wawili NITONYE NA ERICKB52 kaeni mkao wa kula,siendi ntwara kupaka rangi upepo naenda kwa shughuli mimi siishi kwa MIUJIZA NAISHI KWA SHUGHULI....

LAZIMA MUUMUKE NIKIRUDI.

kopi:My Arabela.

pole kwa kujipeleka kenye kifo rip in advance..

cc Arabela
 
Last edited by a moderator:
na ule mdomo wa arusha one sipati photo

Embu nisaidie kumuuliza Lily Flower kama kweli Chimvini ni Mji ili na mie nizame! Na unapatikana pande zipi za mwili. aimini Jiji!!!!
 
578630_2475785670316_1876799502_n.jpg

Sasa Filipo ulikuwa unabisha nini hapo wamesahau kuandika "sasa unaingia chumvini"
 
Last edited by a moderator:
Mungu wangu ! maddame B yaani umenitoa kwenye ukungwi unanipeleka kwenye unyakanga, haya bwana mm sikatai cheo.

Kwa hiyo kakushusha cheo au kakupandisha cheo? Sijui tofauti ya nyakanga na kungwi.
 
Back
Top Bottom