Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

Hahahah...mtakuwa kwenye mikono salama wa salmini...
Mie mzima sistoo sijui weye ambaye umepotea kama rupia ya Kijerumani!!

Hiyo mikono siiamini sana tena ukiwa kama msoma ramani.

Acha tu bro ninakimbiza mia nasika siku hizi imeota matairi.

 
Kwani hakuna mji unaoitwa chumvini?

CC PakaJimmy & Madame B
Umeanza!
Usitukumbushe siye lile KUMBATIO BANA!
Tokea siku zile hatujawahi kupata kumbatio la aina ile, maana kwasasa Madame B ametekwa na LiverpoolFC:A S kiss:


locmap_CHUMVINI_39.632X-5.42X39.968X-5.18.png
 
Shem hebu nikumbushe, Kwa Baba Ubaya ndio palikuwa wapi?
Au pale Nyinda Hotel?
Au Pangani?
Au kule Baharini?
Arushaone, nikumbushe, watu8 iko kumbusha mie.

Pale tulipofikia eneo lote linaitwa Sahare/Sahale ila kile kitongoji ndio panaitwa Kwa Baba Ubaya
 
Back
Top Bottom