Taarifa; Nipo njiani NAELEKEA MTWARA MY WIFE Arabela.....

ntwara mbona hapaingiliki! Nenda kama jounalist!wa CNN
 
Useme uliyemmiss,
usituchanganye wewe.
Nimesikia kuna Tour ingine ya Ar-Wing ya kwenda Ngorongoro vuli ya mwezi wa 6.

all of u bwana! kweli ujue... Preta kuna safari kweli?

hivi Madame B.....unataka wenzio washikwe na mnyama.......? mwezi wa 6 Ngorongoro kweli....? binafsi sijainyaka hiyo..... Smile my dear.....wewe kaa tayari muda na saa hatuijui.....ya kwenda kula bata....kufa kwaja......maisha ni sasa.....
iliyobaki ni kuandaa passport......safari hii hatuendi hapa karibu.....

cc: watu8......
 
Last edited by a moderator:
Madame B anataka safari ya Ngorongoro mwezi Juni...mie sitaki kuganda huko!!!

Inabidi kuvuka bahari aisee...

 
Last edited by a moderator:

Nimesahau kumbe yale maneno ilikuwa ni siri ya Kampuni....
Yalaaaaahhhhhhhh!!!!!!

Madame B anataka safari ya Ngorongoro mwezi Juni...mie sitaki kuganda huko!!!

Inabidi kuvuka bahari aisee...

Ndioooooo Shem.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…