HABARI ZENU WOTE.
Bila kupoteza muda napenda kumuaga my wife Arabela kuwa nasafiri kidogo naelekea ntwara,kuna shughuli ya kufanya huko.Ntarudi baada ya siku tatu.
Lakini ntakapo rudi ntatoa adhabu kwa yale majina ulonipa kuwa ndio wanaokusumbua sana kila siku iendayo kwa Mungu ntashughulika nao ipasavyo,nimeaaacha kikundi kikazi kinafatilia Taarifa zao.
Hawa wawili NITONYE NA ERICKB52 kaeni mkao wa kula,siendi ntwara kupaka rangi upepo naenda kwa shughuli mimi siishi kwa MIUJIZA NAISHI KWA SHUGHULI....
LAZIMA MUUMUKE NIKIRUDI.
kopi:My Arabela.
Karibu sana Ntwara. Mchana huu nami nachukua FastJet nakwenda Tanga. Usiniulize nakwenda kukutana na nani kule Sahale, maeneo ya kwa Baba Ubaya.
COPY: Arabela Smile Filipo watu8 KOKUTONA Preta Lily Flower @PajaJimmy Madame B Blaki Womani.
ahaaa sijachoka kuishi bwana...
na ule mdomo wa arusha one sipati photo
Mungu wangu ! maddame B yaani umenitoa kwenye ukungwi unanipeleka kwenye unyakanga, haya bwana mm sikatai cheo.
oooh yeahhhhh.......
Capt Preta......licence # HP...7........nani anabisha....?
Madame B anataka safari ya Ngorongoro mwezi Juni...mie sitaki kuganda huko!!!
Inabidi kuvuka bahari aisee...
Mie sijabisha, nakuambia hivii mie sijabishaaaaa.
Hayo maneno mbona sikuyaona mie...hahahah!!!