Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Hata mimi sijabisha hakyanani vile!
Ngoja kwanza tuizike fisiemu (UCHAGUZI WA KATA 4) 16.06.2013 ndio tutatoa tamko.
Hahahah...mtakuwa kwenye mikono salama wa salmini...
Mie mzima sistoo sijui weye ambaye umepotea kama rupia ya Kijerumani!!
Haki ya nani sijawahi kufika huko! Labda marejesho aje aseme!
Uijali napitia kwa kwa babu nachukua zindiko la kuzuia mtafaruku then mambo yanakuwa muswanooo!!!
Wala siyo mji...ni sheia au kitongoji na kiko njia ya kuelekea Horohoro hadi Mombasa...lol!!
Babu DC!!
Asante Babu kwa twisheni.
Karibu sana Ntwara. Mchana huu nami nachukua FastJet nakwenda Tanga. Usiniulize nakwenda kukutana na nani kule Sahale, maeneo ya kwa Baba Ubaya.
COPY: Arabela Smile Filipo watu8 KOKUTONA Preta Lily Flower @PajaJimmy Madame B Blaki Womani.