Hahaha mkuu una kumbukumbu, hadi umepakumbuka kwa Baba Ubaya...
hivi hatusafiri tena jamani? nimewamiss hadi tumbo linauma
Iko bhana! Ila nyie wa Dar nendeni Ntwara!
oooh yeahhhhh.......
Capt Preta......licence # HP...7........nani anabisha....?
Wala siyo mji...ni sheia au kitongoji na kiko njia ya kuelekea Horohoro hadi Mombasa...lol!!
Babu DC!!
Vitu adimu sana hivi....lini tena jamaniii?