Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
kwa staili hii ujinga hautaisha AFRICA .Wadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio
Kwa hivyo kuwa myahudi wewe ndio unafuahi. unaakili za ndegeWadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio
SanaNahisi asilimia kubwa ya waafrika wana shida katika ubongo wao
yaani miafrika ina utumwa wa kiakili na kiimani sanaWadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio
Watu wenye majina ya kiarabu watakuja kukutukana kwa jazbaWadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio
slave mentality sasa akiwa myahudi atakusaidia nini wewe wa huku mbwinde kama sio upumbavu unakusumbuaWadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio
Halafu mmoja alimuwekea sumu iliyo muathiri Hadi kifo!Hata kuna wake wa Mtume Muhammad wawili walikuwa wayahudi ni Rayhana bint Zayd and Safiya bint Huyayy, je kosa liko wapi, anaye endesha nchi ni mke au Mwanaume.
Vipi akili zako lakini
Anibariiki na mimi na familia yangu.Mungu Ibariki pia Palestine.