Taarifa njema Mke wa Waziri Mkuu Victoria mteule Uingereza ni myahudi, Mungu ibariki Israel

Baadhi ya wakristu (sio dini) bali "baadhi" ya waumini wa kikristu ni wajinga kupindukia. Kutoka kuuziwa papai kwa 150,000 au kuuziwa viwanja mbinguni mpaka kuishabikia taifa linalofanya mauaji ya kimbari wakiamini Mungu ndio amewapa agizo hilo. (Hakuna Mungu anayeamrisha mauaji)
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi

Mungu ibariki Israel

Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio.

View attachment 3034421View attachment 3034422
Hata raisi wa Ukrainę ni myahudi pia
 
Mtashindana lakini hamtawashinda,aliyepewa kapewa acha chuki mkuu.
Dhulma haidumu ipo siku wataanguka. Hakuna aliye dhulumu akapona. Just time will tell. Unawatetea kwa sababu wametajwa katika Bibilia, na sidhani kwamba ingelikuwa familia yako imevamiwa na wahindu na kuanza kuuliwa kutoka babu yako, baba yako na ndugu zako huku mali zao zikitaifishwa, sidhani kama ungemuelewa mtu ambaye atakwambia wacha chuki dhidi wa wahindi waliopewa wamepewa, huwezi shindana nao. Na wewe ni mmoja kati ya wakristu wasio kuwa na akili...
 
Alianza mtume kutaka kuwafuta akashindwa,wakafuata na wengine mpaka sasa wameshindwa,wewe utasubili sana mkuu.
 
Huwezi kusema Mungu / Mtume amemshindwa kumfuta shetani hivyo tumuabudu shetani. Hajamshindwa isipokuwa ni kutupa majaribio sisi. Taifa lilolaaniwa la Israel linalomkataa Yesu na kumkaribisha Mpinga Kristu linatakiwa kulaaniwa na dini zote, na watu wote,
 
Halafu mmoja alimuwekea sumu iliyo muathiri Hadi kifo!
👇👇
Sahih al-Bukhari 4428
Imepokewa kutoka kwa Aisha:

Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) katika maradhi yake aliyofariki, alikuwa akisema: “Ewe Aisha! Bado nahisi maumivu ya chakula nilichokula pale Khaibar, na wakati huu nahisi kana kwamba mshipa wangu wa moyo unakatika. kutokana na sumu hiyo."

وَقَالَ يُونُسُ عَنِ الزُّهْرِيِّ، قَالَ عُرْوَةُ قَالَتْ عَائِشَةُ ـ رضى الله عنها ـ كَانَ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم يَقُولُ فِي مَرَضِهِ الَّذِي مَاتَ فِيهِ ‏ "‏ يَا عَائِشَةُ مَا أَزَالُ أَجِدُ أَلَمَ الطَّعَامِ الَّذِي أَكَلْتُ بِخَيْبَرَ، فَهَذَا أَوَانُ وَجَدْتُ انْقِطَاعَ أَبْهَرِي مِنْ ذَلِكَ السَّمِّ ‏" ‏
Rejea : Sahih al-Bukhari 4428
Kitabu cha 64, Hadith 450
Vol. 5, Kitabu cha 59, Hadithi ya 713
😆😆😆😆😆
Kwa hio Bukhari anawafurahisha sana hahaha.

We si ndio yule dogo una multiple users humu.

Sa Kwanini Yesu alipigiliwa msalabani kama yeye Mungu, si mnasema alikufa msalabani hahaha sa unashangaa Mtume Muhammad kala sumu hahaha.

Kwanini usishangae Ayoub kupata maradhi miaka na yeye Mtume.

Kwani usishangae Yusufu kutupwa kisimani na ndugu zake, vipi asijue ndugu zake wanaenda mzamisha yeye ni Mtume na baba yake ni Mtume uje kushanga Mtume kulishwa sumu haha.

Kwanini usishangae Ibrahimu kutupiwa kwenye moto na yeye Mtume, nani alimukoa si Mwenyezi Mungu hata hao wengine Mungu ndio kawaokoa sa ajabu iko wapi hahaha
 
Huwezi kusema Mungu / Mtume amemshindwa kumfuta shetani hivyo tumuabudu shetani. Hajamshindwa isipokuwa ni kutupa majaribio sisi. Taifa lilolaaniwa la Israel linalomkataa Yesu na kumkaribisha Mpinga Kristu linatakiwa kulaaniwa na dini zote, na watu wote,
Tuache kuwalaani waarabu wanaotesa waafrika wenzetu hadi kufikia hatua ya kunyofoa figo zao,nije kulaani Israel ambayo haijanikosea,zaidi zaidi tunapata faida ya technologia.
 
Kwa hio Bukhari anawafurahisha sana hahaha.

We si ndio yule dogo una multiple users humu.

Sa Kwanini Yesu alipigiliwa msalabani kama yeye Mungu, si mnasema alikufa msalabani hahaha sa unashangaa Mtume Muhammad kala sumu hahaha.

Kwanini usishangae Ayoub kupata maradhi miaka na yeye Mtume.

Kwani usishangae Yusufu kutupwa kisimani na ndugu zake, vipi asijue ndugu zake wanaenda mzamisha yeye ni Mtume na baba yake ni Mtume uje kushanga Mtume kulishwa sumu haha.

Kwanini usishangae Ibrahimu kutupiwa kwenye moto na yeye Mtume, nani alimukoa si Mwenyezi Mungu hata hao wengine Mungu ndio kawaokoa sa ajabu iko wapi hahaha
Kipimo pekee kuonyesha mtu wa Mungu baada ya majaribu lazima upone na uwe na nguvu,sasa mtume baada ya kulishwa sumu aliendea hiyo hiyo,ndio tunajiuliza je alikuwa wa Mungu au wa mungu?
 
Wadau hamjamboni nyote?

Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi

Mungu ibariki Israel

Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio.

View attachment 3034421View attachment 3034422
Uyahudi wake ni habari njema kivipi?
 
Uyahudi unarithi kutoka kwa Mama na siyo kwa baba.
Ndiyo maana Halle Berry ni Myahudi kwa sababu Mama yake ndiyo Myahudi ingawa Baba yake ni Mpingo.
Lenny Kravitz pamoja na kuwa na Sir name ya Kiyahudi, anatumia Ubabe wa Baba kuwa Myahudi.

"Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor."
1720212746908.png
 
Kipimo pekee kuonyesha mtu wa Mungu baada ya majaribu lazima upone na uwe na nguvu,sasa mtume baada ya kulishwa sumu aliendea hiyo hiyo,ndio tunajiuliza je alikuwa wa Mungu au wa mungu?
Nani alio wambia Mtume kafa kwa sumu, sijui mnaota 😄

Mtume wakati anatolewa roho alikuja Malaika mtoa roho anamuomba ruhusa aingie kwake, waje wajinga wamuwe kwa sumu hahaha.

Alipo tolewa roho yake ni yeye ndiye alimuambia Maika mtoa roho achukue roho yake, hakuja malaika mtoa roho kama anavyo kuja kutoa roho za wengine bila hodi.
 
Back
Top Bottom