Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Hahaha kwani ukristo ulikuja kwa kiswahili nyie machizi nini.Dini ambayo kitabu chake imeandkwa kwa kiarabu, na waumini wake wanaenda uarabuni kutakaswa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha kwani ukristo ulikuja kwa kiswahili nyie machizi nini.Dini ambayo kitabu chake imeandkwa kwa kiarabu, na waumini wake wanaenda uarabuni kutakaswa.
Nyinyi wagalatia mmechanganyikiwa sio Bure kwahiyo mke wa waziri mkuu wa uingereza kuwa myahudi ndio NiniWadau hamjamboni nyote?
Hii ni habari njema kwa Wana Israel mke wa Waziri Mkuu mteule Uingereza aendaye kwa jina la Victoria Starmer ni myahudi
Mungu ibariki Israel
Victoria Alexander was raised in north London. Her father is a former accountant from a Polish-Jewish background and her mother was a community doctor. She studied law at Cardiff University in Wales where she was head of the student unio.
View attachment 3034421View attachment 3034422
UWadau hamjamboni nyote?

ukisikia shobo ndo hiziAnaweza kuwa ana uhusiano na wewe huyo mke ila wewe mweusi tu
Happy now
Yaani akili ya mtu mweusi ni kuwaza ujinga tu
Sina shida na Mitume kuona malaika Mkuu hilo halina shida. Ninachojaribu kuelewa ni namba gani malaika mtoa roho anamuomba kibali anayetajwa kumtoa roho. Hebu fafanua hapo!Hahaha hivi we Malaika mtoa roho unadhani anakuja puuu kuchukua roho yako, bila kupewa amri na Mungu.
Mtume Muhammad alikuwa kipenzi cha Mwenyezi Mungu, unadhani Malaika mtoa roho atakuja puu mchukua roho yake kama vile mimi na wewe hahaha, yule ni Mtume anaonana na Malaika live kabisa.
Unashangaa Mtume Muhammad kumuona Malaika mtoa roho, usishangae Daudi alikuwa anamfungia mke wake ndani asitoke, Malaika mtoa roho alingia kwake.
Nabii Daudi alipo ingia ndani akamuona Malaika ndani kwake, akamuliza wewe nani, akajibiwa mimi ni yule naingia popote, hakuna wakunizuia, pale pale akamwambie wewe ni Malaika mtoa roho.
Usishangae Nabii Ibrahim kuwaona Malaika wawili wamekuja kwake, akawachinjia ndama akidhani wageni, badaye akawajua kama ni Malaika wamekuja kuteketeza group za kina MK254 na wenzao.
Mitume walikuwa wanawaona Malaika, na huyo Malaika mtoa roho wanamuona kabisa.
Tatizo lenu nyie wafuasi wa Paulo, nyimbo za kanisani zinawavuruga, mnatoka tupu, hamna faida kanisani, labda kama unataka kuopoa demu kama wanavyo sema vijana 😄
Hoja siyo Ukiristo Mkuu bali ni taarifa kuwa mkewe Waziri Mkuu ni myahudi, shida iko wapi?Nyinyi wagalatia mmechanganyikiwa sio Bure kwahiyo mke wa waziri mkuu wa uingereza kuwa myahudi ndio Nini
Hivi unajua kama ukiongea habari za ukristo nchini Israel unaenda jera miaka 30?
Mimi nilisema dini za kiarabu na kizungu. Wewe ukauliza dini ya kiarabu ni ipi? Majibu ukapewa.Hahaha kwani ukristo ulikuja kwa kiswahili nyie machizi nini.
Angarau wakiristo walibakiwa na akili kidogo watafusiri kitabu cha dini waliyo letewa kwenye lugha wanazo elewa vizuri. Lakini wezao walio letewa dini ya kiarabu wakawambia ili uwe mwezao lazima ujifuza kiarabu kwaza.Hahaha kwani ukristo ulikuja kwa kiswahili nyie machizi nini.
It says : Fight in the cause of Allah those who fight you but do not trangress limits for Allah loves not the transgressors. (Quran 2:190)Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Yaani......Slay the unbelievers wherever you find them – 2.191”
“Terrorise and behead those who believe in scriptures other than the Koran – 8.12”
“Make war on the infidels living in your neighbourhood – 9.123”
“Do not hanker for peace with the infidels; behead them when you catch them – 47.4”
Lazima ufahamu ukita kuwa PhD holder lazima ujifunze lugha ngeni kwako huwezi kuchukua PhD kama hujui kizungu.Angarau wakiristo walibakiwa na akili kidogo watafusiri kitabu cha dini waliyo letewa kwenye lugha wanazo elewa vizuri. Lakini wezao walio letewa dini ya kiarabu wakawambia ili uwe mwezao lazima ujifuza kiarabu kwaza.
Hapo we kumulize Malaika mtoa roho alienda kwa Nabii Daudi akamwambia kuna kijana yupo kwenye vikao vya Nabii Daudi umri wake miaka 20 atatoa roho yake baada ya siku 7Sina shida na Mitume kuona malaika Mkuu hilo halina shida. Ninachojaribu kuelewa ni namba gani malaika mtoa roho anamuomba keep bali anayetajwa kumtoa roho. Hebu fafanua hapo!
KWanini Mungu achaguwa kiarabu kuwa luhga ya dini? Yaani Mungu alikosa sehemu zote akamuwa kwenda kuazisha dini na lugha jagwani ?Lazima ufahamu ukita kuwa PhD holder lazima ujifunze lugha ngeni kwako huwezi kuchukua PhD kama hujui kizungu.
Mungu anapima imani za binadamu, we kama unampenda basi lazima ujifunze Qur'an kwa kiarabu, Mungu anataka kukuona utaweza mbona kizungu na lugha zingine mnajifundisha sio kazi kwenu, kiarabu iwe kazi.
Kwenda peponi dogo usizani nyimbo za kanisani oh Yesu kachukua dhambi zetu, oh Yesu ndio muokozi wetu sio hivyo unavyo fikiria.
Pepo ni juhudi zako kutafata elimu ya Mungu na kupata elimu ya Mungu usidhani unaipata bila mtihani.
Nabii Ismail alipewa Mtihani wa kuchinjwa na Nabii Ibrahim alipewa mtihani wa kumchinja mwanae, walipo pasi wakakarimiwa na Mungu na moja wapo ni hio lugha ya kiarabu ya mke wa Ibrahim bi Hajar,.
Sababu ni mke aliye pewa mtihani na Mungu, yeye na mwanae, kwa hio we utake usitake kiarabu lazima ndio lugha utaongea siku ya kufufuka, na utakapo fika kaburini utajilaumu kwanini hukujifunza Qur'an .
We endelea kupoteza mda na dini ya Fake ya Paulo.
Kwahiyo Mungu anachaguwa watu wa kumuabudu na anawapa mtihani kwanza?Lazima ufahamu ukita kuwa PhD holder lazima ujifunze lugha ngeni kwako huwezi kuchukua PhD kama hujui kizungu.
Mungu anapima imani za binadamu, we kama unampenda basi lazima ujifunze Qur'an kwa kiarabu, Mungu anataka kukuona utaweza mbona kizungu na lugha zingine mnajifundisha sio kazi kwenu, kiarabu iwe kazi.
Kwenda peponi dogo usizani nyimbo za kanisani oh Yesu kachukua dhambi zetu, oh Yesu ndio muokozi wetu sio hivyo unavyo fikiria.
Pepo ni juhudi zako kutafata elimu ya Mungu na kupata elimu ya Mungu usidhani unaipata bila mtihani.
Nabii Ismail alipewa Mtihani wa kuchinjwa na Nabii Ibrahim alipewa mtihani wa kumchinja mwanae, walipo pasi wakakarimiwa na Mungu na moja wapo ni hio lugha ya kiarabu ya mke wa Ibrahim bi Hajar,.
Sababu ni mke aliye pewa mtihani na Mungu, yeye na mwanae, kwa hio we utake usitake kiarabu lazima ndio lugha utaongea siku ya kufufuka, na utakapo fika kaburini utajilaumu kwanini hukujifunza Qur'an .
We endelea kupoteza mda na dini ya Fake ya Paulo.
Wachache ndio watakuelewaTaifa la Isreal limelaaniwa
Israeli chief rabbi compares black people to monkeys
Ultra-orthodox Jews spit towards Christian pilgrims leaving Church of the Flagellation
Jewish Rabbi claims Torah instructs jews to destroy !
nakaribisha wajinga wanitukane, wakitoka hapa wanaenda uziwa mapapai kwa 150,000 kama mizimu
Tatizo kwani msijiulize Mungu alileta Mitume wote karibu walikuwa Wayahudi na Warabu kwanini asilete Mitume Wakimarekani, Warusi, Wachina na Wahindi au Wafrika 😄KWanini Mungu achaguwa kiarabu kuwa luhga ya dini? Yaani Mungu alikosa sehemu zote akamuwa kwenda kuazisha dini na lugha jagwani ?
unataka tuchukue akili za kudai YESU alikuwa muislamu huku muislamu wa kwanza akiwa mudy?akili ndo hizi?Hata kuna wake wa Mtume Muhammad wawili walikuwa wayahudi ni Rayhana bint Zayd and Safiya bint Huyayy, je kosa liko wapi, anaye endesha nchi ni mke au Mwanaume.
Vipi akili zako lakini
sawa abdulratif,utumwa ni kutojitambua!Baadhi ya wakristu (sio dini) bali "baadhi" ya waumini wa kikristu ni wajinga kupindukia. Kutoka kuuziwa papai kwa 150,000 au kuuziwa viwanja mbinguni mpaka kuishabikia taifa linalofanya mauaji ya kimbari wakiamini Mungu ndio amewapa agizo hilo. (Hakuna Mungu anayeamrisha mauaji)
Kwa hio Mungu wawakristo kwanini achague taifa teule mengine sio mataifa 😄Kwahiyo Mungu anachaguwa watu wa kumuabudu na anawapa mtihani kwanza?