Nadhani angebaki hukohuko tu kubana matumizi hizi safari za kila siku Dom-Dar na Dar-Dom hazina afya wa maendeleo ya nchi
Kwa style hii ya matumizi nchi kusonga ni ndoto.
Hii ndege itakoma
Alafu kuna mtu hayuko kwenye iyo cycle na yeye anashangilia wanavyotukamuaMaza anacheka kinyama anavyoona tunaendelea kutumia huduma za kifedha kwenye simu.
Tuna kazi kubwa sana na Tanzania yetuWastage of money, time and energy. Sasa mumewe yuko wapi? Je akimuhitaji si inabidi ageuze tena kurudi. Kayafa katuachia matatizo makubwa
Soma ulichokiandika!Dodoma - Dar - Dodoma.
Tuseme tu ukweli hatukuwa tayari kuhamia Dar.
Dom....editedSoma ulichokiandika!
Ukweli hawa watu wanatoa lawama bila akiliDar--- Dom nayo ni safari??!!,
Raisi apangiwi mahala pa kukaaAngechagua makazi pahala pamoja akatulizana
Kufanya kazi na nchi ya Tanzania kazi sana,hapo ipo siku mtataka kusema wakilala wanalalaje mzungu wa nne ama kila mtu na kitanda chakeMzee anaishi dar au Dodoma? Haonekani kabisaa . Au Yuko kisiwandui?