Mimi sio wa pwani ila napenda Safari basi tu fursa haijapatikanaIla ni hulka ya watu wa pwani..mnapenda Sana kutembea/kusafiri..
Kazi tunayoSASA BARAZA LA MAWAZIRI KWANINI LILIFANYIA KIKAO DODOMA IKIWA LEO RAIS ANAREJEA DODOMA? MAWAZIRI NA MAKATIBU WAKUU WOTE WAKO DODOMA SASA KWANINI WALIITWA DAR IKIWA LEO RAIS ANARUDI DODOMA? HIVI KWELI WASHAURI WA RAIS WANAFANYA KAZI VYEMA?
Mama na mimi namwomba aniteue tu kwa kweli. Maana mambo sio magumu ka twaweza kufikiriHakuna kazi rahisi hapa Duniani kama kuwa Rais wa Tanganyika.
Hapo amebakiza kazi ya kuteua MaDAS tu akamilishe Serikali yake. Baada ya hapo ni safari za Ulaya na America mpaka muhula wake utimie.
Wale ndugu zetu waliokuwa na shauku ya Kutembelewa na Rais kule Kilwa ndiyo msahau hivyo. Subirini wakati wa Kampeni za 2025 atasimama hapo NANGURUKURU mtamwona [emoji23]
Najua mambo yake, hupendi unyonge[emoji16]Mimi sio wa pwani ila napenda Safari basi tu fursa haijapatikana
HahahahaHivi huyu mama bado ana "bleed"?
Leta Jina lako mapema hapa Dodoma ukiwa na bahasha iliyonona tukupe 😂Mama na mimi namwomba aniteue tu kwa kweli. Maana mambo sio magumu ka twaweza kufikiri
Yaani kafutika ghafla mioyoni mwa watanzaniaHuyu mama amedharaulika sana kwa kitendo cha kuanza kuwabambikia watu kesi.
Magufuli alikua akipiga Dar to Dom anaanza kwa gari. Lengo ni kukutana na wananchi na kutatua kero zao na kuwasikiliza. Huyu ni juu kwa juu. Na nivile tu kuna corona,huyu angepiga misele kuliko JK.Dar--- Dom nayo ni safari??!!,
Kwa age yake hawezi mkuu yupo kwenye menoHivi huyu mama bado ana "bleed"?
Dodoma si makao makuu ya nchi bali makao makuu ya Serikali (seat of the government). Ni hii misconception ya dhana inayosababisha hata ujenzi wa Dodoma uwe mgumu Kwa sababu vichwani mwa viongozi na watendaji (policy makers) wakuu wa Serikali wanadhani/fikiri kuwa Dar es Salaam inahamishiwa Dodoma, wakati sivyo!Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani amerejea Makao Makuu ya nchini yaliyopo Dodoma
Mama Samia ametokea Jijini Dar es salaam alikokuwa akitekeleza majukumu mbalimbali ya Kiserikali
View attachment 1885097
Kwa umri wake hawalali the same room na Mr wake sema imebaki heshima tu sasaDodoma ni makao makuu ya nchi. Dar Es Salaam sehemu ya makazi ya mama yetu. Hamjui yupo kwenye polygamy's marriage jamani?
Rais kusafiri siyo to Dar-Dodoma, hata kwenda wilayani ni Taarifa
KAZI IENDELEE
Kwa umri wake hawalali the same room na Mr wake sema imebaki heshima tu sasa
Dah hii nchi ni kama vile wengine tulikaribishwa tu ila wapo wenye nchi yao kwakeli Bora chanjo ziwaishwe kwa wote watucontrol tu maana wenye tumeshindwa kabisaaa..wakiwa dar wanalipana posho za nights na nje ya kazi ambazo ni gharama kwa wananchi
Kama sio safari imekuwaje tuarifiweSio safari