Matanga
JF-Expert Member
- Nov 13, 2019
- 2,281
- 3,988
Huku anatafuna mhindi alionunua kwa mwananchi mnyonge[emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]Kero gani katatua zaidi ya kuziongeza au kule kuwadharirisha wale kina mama pale Dumila kwamba eti waseme vizuri wanataka wapanuliwe wapi,ndio kero unayeizungumzia kuitatua?