peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 18,223
- 31,465
Jf imemkurupusha Dar. Nchi maskini Ina ikulu mbili rais mmoja.Baada ya kuwasema jana leo wamerudi dodoma...Yaani unafanyia kazi za kiserikali Ikulu Dar karibia mwezi
Huyu mama ni hasara tupu