Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,784
- 22,106
[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mama ANAPANUA WIGO wa uchumi.
[emoji23][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Mama ANAPANUA WIGO wa uchumi.
Hivi ile ndege ya rais iko wapi mpaka watumie hilo dudeHii ndege itakoma
My God!!!Dah hii nchi ni kama vile wengine tulikaribishwa tu ila wapo wenye nchi yao kwakeli Bora chanjo ziwaishwe kwa wote watucontrol tu maana wenye tumeshindwa kabisaaa..
Nami nimeuliza swali hili mkuuHivi ile ndege ya rais iko wapi mpaka watumie hilo dude
Kumbuka Kwandikwa aliagwa jana Karimjee na Serikali yote ilikuwepo so it was ideal kwa Cabinet meeting kufanyikia Dar.... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Soma hii Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri; ya jana tu (Dar) halafu leo huyooo karudi kule kule (Dom) na mawaziri wako barabarani mbio wanakimbilia kulekule walikotoka jana/juzi. Ninampenda sana huyu Mama ila dah; kwa mwendo huu anaanza kutuchosha sasa!
@ModeratorHivi huyu mama bado ana "bleed"?
MfuateMissing jiwe
Sawa mkuu.Hayo mambo ni ya usiri sana hatupaswi kuyajua,watanzania inabidi tuheshimiane sana ukiondoa cheo chake yule ni Mama,ama bibi so tuheshimu miiko mila na tamaduni zetu,mfano mdogo wewe hapo unaambiwa ivyo na rafiki yako utajisikiaje,tuheshimiane hii Jamii forum watu wanaelimika na kuburudika so ukifanya ivyo utafanya wenye mamlaka Tcra kuifungia
UnajikoshaMfuate
Yawezekana robo tatu walikuwa Dar kabla ya kuitishwa kikao na leo wamerudi Dodoma wote.... ajabu sana hii! Kulikuwa na ulazima gani wa kuwaita mawaziri na wasaidizi wao, madereva, n.k Dar kwa kikao cha siku moja na kesho yake kurudi kule kule ambako angeweza kufanyia kikao na mawaziri aliowaita? Haya sasa ni matumizi mabaya ya fedha za umma.
Soma hii Picha: Rais Samia Suluhu aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri; ya jana tu (Dar) halafu leo huyooo karudi kule kule (Dom) na mawaziri wako barabarani mbio wanakimbilia kulekule walikotoka jana/juzi. Ninampenda sana huyu Mama ila dah; kwa mwendo huu anaanza kutuchosha sasa!
Magufuli alikua akipiga Dar to Dom anaanza kwa gari. Lengo ni kukutana na wananchi na kutatua kero zao na kuwasikiliza. Huyu ni juu kwa juu. Na nivile tu kuna corona,huyu angepiga misele kuliko JK.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mamlaka ya Rais yasio na mipaka ni sababu moja kubwa ya kusaka Katiba MpyaRaisi apangiwi mahala pa kukaa
... makao makuu ya nchi ni mji ambao inategemewa shuguli muhimu za kiserikali zifanyike including kuwaaga viongozi wa kiserikali waliotangulia mbele ya haki. Kama mmeanzisha makao makuu na serikali kuhamia huko lakini bado shughuli muhimu za kiserikali zinafanyika kule kule mlikohama, makao makuu mlikokimbilia yana maana gani?Kumbuka Kwandikwa aliagwa jana Karimjee na Serikali yote ilikuwepo so it was ideal kwa Cabinet meeting kufanyikia Dar.
🙄🙄🙄,Kidini itampasa iwe ivyo.....sasa kiserikali sijajua maamuzi yaoBado mumewe akipiga simu anageuza tena Usiku usiku 😄😄😄
Watanzania tutafika mbinguni tumechoka sana