DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,476
Kwaiyo karia anahusikaje juu ya yanga kubeba ubingwa mara 30?Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea".
Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya vichochoroni na ina wawakilishi dunia nzima wanaosaidia kukusanya na kuchakata hizi takwimu.
Katika tovuti ya R.S.S.S.F wameripoti kuwa Yanga imewahi kuchukua ubingwa mara 25 tu. Katika rekodi zao, Simba imechukua ubingwa mara 22.
Katika miaka ya hivi karibuni, Yanga imesambaza propaganda kuwa ni bingwa mara 30 hadi katika vile vitenge vyao wakaweka nyota 3 na wakadanganya wenzao kuwa nyota 3 zinamaananisha ubingwa waliobeba mara 30.
Nadhani kulikalia hili kimya ni moja ya favour aliyowafanyia Rais wa TFF Wallace Karia halafu leo wanamtusi na kumuona hafai.
Nimeambatanisha hapa chini list ya mabingwa kuanzia 1921 hadi 2024 kutoka tovuti ya R.S.S.S.F.
View attachment 3288050
Ukipinga pinga kwa takwimu rasmi kutoka chombo kinachoaminika.
Kitendo cha kuwakaushia na propaganda zenu ndiyo favour yenyewe. Ndiyo maana msimu wenu huu umekuwa na nuksi maana mmevaa vitenge vilivyoandikwa taarifa zenye ubatili.Kwaiyo karia anahusikaje juu ya yanga kubeba ubingwa mara 30?
Kamwambie awapokonye basi huo ubingwa na afute hizo rekodi walizonazo yanga kama anaweza,,
Wewe ni amnazo unajua maana ya propaganda? Ingekuwa sio official record zilizopo kwenye kanzi data za tff tungesema ni propaganda,,sasa tff wenyewe wanatambua yanga kabeba ubingwa mara 30 sasa wewe kijana wa mangungu unakuja hapa umevimbiwa viporo vya makande unatuletea virekodi vyako kwakuwa umewazidi akili waliotunza rekodi au?Kitendo cha kuwakaushia na propaganda zenu ndiyo favour yenyewe. Ndiyo maana msimu wenu huu umekuwa na nuksi maana mmevaa vitenge vilivyoandikwa taarifa zenye ubatili.
Hakuna kanzidata ya TFF inayotambua Yanga kuwa bingwa mara 30. Waliamua tu kuwapotezea na propaganda zenu.Wewe ni amnazo unajua maana ya propaganda? Ingekuwa sio official record zilizopo kwenye kanzi data za tff tungesema ni propaganda,,sasa tff wenyewe wanatambua yanga kabeba ubingwa mara 30 sasa wewe kijana wa mangungu unakuja hapa umevimbiwa viporo vya makande unatuletea virekodi vyako kwakuwa umewazidi akili waliotunza rekodi au?
Simba hawana shida na hizi takwimu ni hao wanaosema ni mabingwa mara 30 ndiyo watuambie hizo 30 wamezipatia wapi.Wakizipata hizo taarifa walizoandika "not known" tuletee tena.hiyo ndio itakua taarifa rasmi iliyojitosheleza,pengine hizo not known ni za simba ila bado tu hawajajua?
Wanatambua yanga ni bingwa mara ngapi sasa kwa akili zako wewe unazotaka kutuaminisha?Hakuna kanzidata ya TFF inayotambua Yanga kuwa bingwa mara 30. Waliamua tu kuwapotezea na propaganda zenu.
Nilishasema mwanzoni mwa uzi huu. Kosoa kwa data siyo maneno maneno tu.
Waandishi wa historia ndiyo hawa wanakwambia ni 25 kwa 22. Unaongelea waandishi gani, kina Mzee Mpili?Hicho kitaasisi chako cha vichochoroni ndiyo nani kwenye Soka letu? π Unabishana na wazee na waandishi wa historia waliyoshuhudia Yanga akitwaa ubingwa?? Hiyo 22 ya 5imba yenyewe Karia kawaonea huruma, hizo ni za Sanderland na Queens, sio 5imba.
YANGA BINGWA Γ 30
Hutaki KAKOJOE ULALE π
Mimi nimekuletea takwimu na chanzo changu. Na wewe leta takwimu na chanzo chako kusapoti unachosema.Wanatambua yanga ni bingwa mara ngapi sasa kwa akili zako wewe unazotaka kutuaminisha?