Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

Simba hawana shida na hizi takwimu ni hao wanaosema ni mabingwa mara 30 ndiyo watuambie hizo 30 wamezipatia wapi.
Kawaulize fat + tff kwamba inakuwaje yanga ni mabingwa ×30 watakupa majibu!
 
Simba hawana shida na hizi takwimu ni hao wanaosema ni mabingwa mara 30 ndiyo watuambie hizo 30 wamezipatia wapi.
Hujanielewa,umesema ni taarifa rasmi,wakati kuna taarifa hazijajazwa kwenye jedwali la orodha uliyoleta.bila shaka iyo taasisi bado inakusanya taarifa kujaza hayo magepu,wakishajaza hiyo ndio itakua taarifa iliyokamilika.hii uliyoleta bado haijajitosheleza kwa sababu kuna nafasi hazijajazwa bado!
 
Mimi nimekuletea takwimu na chanzo changu. Na wewe leta takwimu na chanzo chako kusapoti unachosema.
Chanzo chako akiwezi kukusaidia wewe kwakuwa akitambuliki na akiwezi kubadili chochote zaidi ya kukufurahisha wewe na wenzako mnaoumia na ubingwa wa yanga!
 
Na maelezo yako pia hayatambuliki maana hayajaambatana na vielelezo vya uhakika. Unataka tumuamini Sheria Ngowi?
 
TFF wana upumbavu mwingi sana. Huwa wananyamazia upuuzi mwingi wa Yanga Kisha wanakuja kugeukwa na Yanga hiyo hiyo mbele ya safari.

Hebu fikiria kitendo cha Yanga kueneza uongo kuwa Simba haikucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF) huo mwaka 1993, na kwamba wao Yanga ndo wa kwanza kucheza fainali ya Kombe hilo. TFF badala wajitokeze waeleze mbivu na mbichi wao wakakaa kimya tu hadi ikamlazimu Rais SSH kusema ukweli pale Yanga ilipoenda Ikulu. TFF inafeli sana.
 
Haya yote yanatokea mara tu baada ya kususia mechi.
 
TFF wana upumbavu mwingi sana. Huwa wananyamazia upuuzi mwingi wa Yanga Kisha wanakuja kugeukwa na Yanga hiyo hiyo mbele ya safari.

Hebu fikiria kitendo cha Yanga kueneza uongo kuwa Simba haikucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF) huo mwaka 1993, na kwamba wao Yanga ndo wa kwanza kucheza fainali ya Kombe hilo. TFF badala wajitokeze waeleze mbivu na mbichi wao wakakaa kimya tu hadi ikamlazimu Rais SSH kusema ukweli pale Yanga ilipoenda Ikulu. TFF inafeli sana.
Ni ama hawajatambua kuwa hilo pia ni moja ya jukumu lao au ndiyo favours alizosema Karia kuwa amewafanyia Yanga. Imagine TFF ingewakosoa baada ya kuprint vile vitenge vyao, aibu ambayo wangeipata.
 
Sasa uongo upo wapi hapo kuhusu fainali kombe ya shirikisho mwaka 1993? Ili iwe uongo inabidi uje useme huyo aliyecheza fainali na Simba mwaka 1993 alicheza na nani katika CAF super cup. Hakuna cha uongo ila watu wa Simba hawapendi kusikia ukweli. Samia na mpira wapi na wapi? Tumsikilize Samia au hao CAF wenyewe?
 
Na maelezo yako pia hayatambuliki maana hayajaambatana na vielelezo vya uhakika. Unataka tumuamini Sheria Ngowi?
Sheria ngowi Yuko sawa kwakuwa ndio takwimu zinazotambulika na vyombo vyote vya kimpira Tanzania,,nenda kawaulize pale tff kwamba yanga kabeba ubingwa mara ngapi Watakwambia,,Na sio ivyo vitakwimu vyako unavyookoteza huko na kutuletea hapa
 
Ni ama hawajatambua kuwa hilo pia ni moja ya jukumu lao au ndiyo favours alizosema Karia kuwa amewafanyia Yanga. Imagine TFF ingewakosoa baada ya kuprint vile vitenge vyao, aibu ambayo wangeipata.
Sasa hapo Kuna favour Gani? Hivi nyie mbumbumbu uwa mnajielewa kweli? Kwamba kitendo cha yanga kubeba ubingwa ×30 karia afute iyo historia au afanyeje kwa mfano?
 
Hujanielewa,umesema ni taarifa rasmi,wakati kuna taarifa hazijajazwa kwenye jedwali la orodha uliyoleta.bila shaka iyo taasisi bado inakusanya taarifa kujaza hayo magepu,wakishajaza hiyo ndio itakua taarifa iliyokamilika.hii uliyoleta bado haijajitosheleza kwa sababu kuna nafasi hazijajazwa bado!
Nasisitiza tena, ukinipinga pinga kwa takwimu rasmi siyo vimaneno maneno.

Unatumia logic na takwimu gani kusema hizo taarifa ambazo hazijatajwa ndiyo zinaipa ubingwa Yanga mara 30?
 
Sheria ngowi Yuko sawa kwakuwa ndio takwimu zinazotambulika na vyombo vyote vya kimpira Tanzania,,nenda kawaulize pale tff kwamba yanga kabeba ubingwa mara ngapi Watakwambia,,Na sio ivyo vitakwimu vyako unavyookoteza huko na kutuletea hapa
Wewe unayeleta hiyo hoja ya TFF, nenda hapo TFF utupatie hizo takwimu zao kimaandishi siyo kututupia sisi mzigo wakati hoja ya TFF ni yako.

Je na mimi nikikwambia FIFA wana takwimu zao zinazonisapoti zinazopingana na wewe ila inabidi uende ofisi za FIFA itakuwaje?

Mnatuletea mambo ya Hans ya miongozo ambayo hauwezi kuipata mpaka uende ofisi za TFF.
 
Nasisitiza tena, ukinipinga pinga kwa takwimu rasmi siyo vimaneno maneno.

Unatumia logic na takwimu gani kusema hizo taarifa ambazo hazijatajwa ndiyo zinaipa ubingwa Yanga mara 30?
Yaani chanzo kioneshe mapungufu kwa kuandika unknown bado mtu anashupalia ndio itumike kuwa ndio chanzo cha kuaminika
 
Wewe unayeleta hiyo hoja ya TFF, nenda hapo TFF utupatie hizo takwimu zao kimaandishi siyo kututupia sisi mzigo wakati hoja ya TFF ni yako.

Je na mimi nikikwambia FIFA wana takwimu zao zinazonisapoti zinazopingana na wewe ila inabidi uende ofisi za FIFA itakuwaje?

Mnatuletea mambo ya Hans ya miongozo ambayo haiwezi kuipata mpaka uende ofisi za TFF.
Basi usitusumbue hapa icho unachokipambania ni sawa na kupoteza muda wako Bure kwakuwa akiwezi kubadili chochote na yanga anaendelea kuwa bingwa ×30 utake ndio hivyo usitake ndio hivyo!
 
Kwa hiyo kesho mkiamka mkasema Yanga ni bingwa mara 57 mnataka tuwaangalie tu?
 
Back
Top Bottom