Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

Nimewahi kusikia hili suala likiongelewa na Zaka za kazi Thabit Abdul.

Nitamtafuta zaka anipe taarifa za uhakika.
 
Kweli wewe mbumbumbu jambo la kumuuliza Baba yako historia ya Yanga na Simba unakuja kulishwa matango pori na tahasisi zisizo eleweka!!
Mbona mnamshambulia aliyeleta sredi pasi na kuweka ushahidi wa hili? Nilikuwa na mashaka na alichokiandika ila kwasasa imebidi nianze kuamini kuna ukweli kuhusu hizo takwimu.

Mtuambie hii miaka 1973, 1976, 1978, 1979, 1980, 1995 nani alikuwa bingwa, wengine miaka mingi kati ya hiyo bado tulikuwa viunoni kwa baba zetu.
 
Watu kama Hawa ndiyo huwa wanajinyonga kwa wivu. Sio ajabu kwa tabia hizi naona kabisa hata ndugu zako huwapendi. Mtu mwenye akili anapambana kujua huyu mwenzangu amewezaje kufanikiwa? Anapambana.
 
TFF wana upumbavu mwingi sana. Huwa wananyamazia upuuzi mwingi wa Yanga Kisha wanakuja kugeukwa na Yanga hiyo hiyo mbele ya safari.

Hebu fikiria kitendo cha Yanga kueneza uongo kuwa Simba haikucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF) huo mwaka 1993, na kwamba wao Yanga ndo wa kwanza kucheza fainali ya Kombe hilo. TFF badala wajitokeze waeleze mbivu na mbichi wao wakakaa kimya tu hadi ikamlazimu Rais SSH kusema ukweli pale Yanga ilipoenda Ikulu. TFF inafeli sana.
Wewe nawe hujui, hilo kombe la shirikisho mwaka 1993 lilikuwepo?
 
Usiseme Samia na mpira wapi na wapi. Ile hotuba aliyoitoa si yeye aliyeiandaa bali iliandaliwa na watu wenye akili zao timamu ambao pia walijiridhisha usahihi wa kila fact iliyomo kwenye hotuba ile.

Labda nikuulize wewe, unataka kusema wewe uko informed sana kuliko Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu au Archive iliyopo pale Ikulu?
Nimekuuliza swali dogo tu ili uone wewe na Samia wako na waliomuandalia hotuba walipuyanga. Niambie mechi ya CAF super cup walicheza na timu gani? Kawaida bingwa wa kombe wa shirikisho anapaswa kucheza na bingwa wa klabu bingwa katika CAF super cup. Njoo na hili jibu sio unaleta ngonjera za Samia na waliomuandalia hotuba. Tufunge mjadala
 
Wikipedia sio reliable source. Hapo katika mabingwa wote waliorodheshwa huku tunaona Arab sc wakati wikipedia hawajawekwa. Kuna haja TFF waje na majibu kuhusu hili.
Kwahiyo Wikipedia unataka tuikatae kuwa sio reliable source kisa haijaweka Arab sc ila mnalazimisha source aliyoleta mleta uzi tuikubali na wakati imeonesha hawana information ya kutosha kwa miaka mingine kuandika unknown? Hamuoni hata yenyewe sio source ya uhakika
 
Kweli huko wenye akili ni wawili tu 😂 angalau basi ungecrop hiyo pic kufit your narrative kuliko kuonekana zamwamwa. Ni sawa na kusema Uefa cup winner's cup sio Europa league kwasababu Europa imeanza msimu wa 2009-10?
Uefa cup winners cup siyo europa,kama palikua na caf cup na caf winners cup,yakafutwa likaja confederation,hilo ni kombe tofauti,simba waluocheza final caf cup na waliocheza final winners cup wote watasema walicheza final shirikisho 1993?..walioshinda winners cup 1993 na walioshinda caf cup 1993,wote walishinda shirikisho 1993!?
 
Vitu vingine muwe mnasema kama mnatania au hampo serious. Uefa winner's cup sio Europa league? Kumerge kumbe ni kufuta na sio kuunganisha? Kwa mantiki hiyo timu kama Newcastle united pale Epl tuseme ilitokana na kufutwa kwa klabu ya Newcastle East end na Newcastle West end baadala ya kusema iliunganishwa? Kwanza hilo neno kufuta umelitoa wapi? Maana hata hiyo screenshot yako haionyeshi hilo neno baadala yake naona kuna kuunganisha mashindano mawili ili libaki moja! Kwa maana hiyo unakataaje kwamba Simba final alocheza 1993 sio shirikisho?
 
Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea".

Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya vichochoroni na ina wawakilishi dunia nzima wanaosaidia kukusanya na kuchakata hizi takwimu.

Katika tovuti ya R.S.S.S.F wameripoti kuwa Yanga imewahi kuchukua ubingwa mara 25 tu. Katika rekodi zao, Simba imechukua ubingwa mara 22.

Katika miaka ya hivi karibuni, Yanga imesambaza propaganda kuwa ni bingwa mara 30 hadi katika vile vitenge vyao wakaweka nyota 3 na wakadanganya wenzao kuwa nyota 3 zinamaananisha ubingwa waliobeba mara 30.

Nadhani kulikalia hili kimya ni moja ya favour aliyowafanyia Rais wa TFF Wallace Karia halafu leo wanamtusi na kumuona hafai.

Nimeambatanisha hapa chini list ya mabingwa kuanzia 1921 hadi 2024 kutoka tovuti ya R.S.S.S.F.

View attachment 3288050
Ukipinga pinga kwa takwimu rasmi kutoka chombo kinachoaminika.

View: https://youtu.be/_oTCOAGni2o?si=4guzzcNtqZ5SBLnJ
 
Vitu vingine muwe mnasema kama mnatania au hampo serious. Uefa winner's cup sio Europa league? Kumerge kumbe ni kufuta na sio kuunganisha? Kwa mantiki hiyo timu kama Newcastle united pale Epl tuseme ilitokana na kufutwa kwa klabu ya Newcastle East end na Newcastle West end baadala ya kusema iliunganishwa? Kwanza hilo neno kufuta umelitoa wapi? Maana hata hiyo screenshot yako haionyeshi hilo neno baadala yake naona kuna kuunganisha mashindano mawili ili libaki moja! Kwa maana hiyo unakataaje kwamba Simba final alocheza 1993 sio shirikisho?

Zamani kulikuwa na mashindano matatu ya CAF na yalikuwa yanatofautiana hadhi na ubora.
Shindano la kwanza kabisa ni African Cup of Champions Clubs iliyoanzishwa mwaka 1964 ambapo wale mabingwa wa ligi kuu pekee ndio walikuwa wanashiriki.
2) The African Cup Winners' Cup ambayo ilianzishwa mwaka 1975 ambapo hili lilikuwa linachukua mabingwa wa kombe la FA kama ilivyosasa katika mashindano ya confederation cup.
3) CAF cup ilianzishwa mwaka 1992 kwaajili ya timu ambazo zimekosa nafasi ya kushiriki mashindano ya kimataifa ya CAF yale mawili ya juu ( wanaoshika nafasi ya pili kwenye ligi kuu) ni shindano ambalo lilikuwa halina hadhi kama ilivyo yale mawili ya juu, hivyo bingwa wa hili kombe alikuwa hapati nafasi ya kucheza CAF super cup.

Super cup ilikuwa inachezwa kati ya bingwa wa African Cup of Champions Clubs vsAfrican cup Winners'Cup kama ilivyosasa ambapo bingwa wa CAF champions league anacheza dhidi ya bingwa wa CAF confederation cup katika CAF super cup.

Kwa upande wa ulaya wao walikuwa na mashindano mawili ambapo kulikuwa na European cup ambayo ni sawa na EUFA champions league na walikuwa na EUFA cup ambayo ni sawa na EUFA cup. Mwanzilishi wa mashindano ya CAF Cup alichukuwa wazo kutoka EUFA Cup lakini mfumo wa mashindano ukawa ni tofauti kwavile tayari kulikuwa na shindano lenye hadhi zaidi na ubora zaidi (The African Cup winner's Cup) na ndio iliyoipa hadhi timu kushiriki CAF super cup
 
Vitu vingine muwe mnasema kama mnatania au hampo serious. Uefa winner's cup sio Europa league? Kumerge kumbe ni kufuta na sio kuunganisha? Kwa mantiki hiyo timu kama Newcastle united pale Epl tuseme ilitokana na kufutwa kwa klabu ya Newcastle East end na Newcastle West end baadala ya kusema iliunganishwa? Kwanza hilo neno kufuta umelitoa wapi? Maana hata hiyo screenshot yako haionyeshi hilo neno baadala yake naona kuna kuunganisha mashindano mawili ili libaki moja! Kwa maana hiyo unakataaje kwamba Simba final alocheza 1993 sio shirikisho?
Arsenal alishinda uefa cup 1994,nioneshe kwenye kumbukumbu za uefa zinaposema arsenal ana kombe moja la europa
 
Sawa tumekubali vipi maumivu yamekwisha?🤪 Lakini licha ya hivyo type takwimu Simba amefungwa mala ngapi na Simba mfululizo???
 
Maumivu ni makali sana 😀 chezea kukaa miaka minne haujui hata uzito wa kombe la NBC unafananaje 😀

IMG_20230609_190634.jpg
 
Uefa cup winners cup siyo europa,kama palikua na caf cup na caf winners cup,yakafutwa likaja confederation,hilo ni kombe tofauti,simba waluocheza final caf cup na waliocheza final winners cup wote watasema walicheza final shirikisho 1993?..walioshinda winners cup 1993 na walioshinda caf cup 1993,wote walishinda shirikisho 1993!?

Arsenal alishinda uefa cup 1994,nioneshe kwenye kumbukumbu za uefa zinaposema arsenal ana kombe moja la europa
Mdau hapo juu amekuuliza kwa nini unatumia neno kufutwa badala ya kuunganishwa wakati vyanzo ulivyopost vimetumia neno "merge"? Je, ku merge maana yake ni kufutwa?
 
Mpaka sasa hakuna mwanauto alieleta takwimu kutoka chanzo kinachoaminika kuwa wao ni mabingwa mara 30.
Imeletwa chanzo cha wikipedia inakataliwa wakati hiki chanzo kiliwekwa kwenye huu uzi una unknown kibao lakini unalazimishwa kuaminika. Hapo ndipo utakapomuona Rage kama mchawi vile
 
Mdau hapo juu amekuuliza kwa nini unatumia neno kufutwa badala ya kuunganishwa wakati vyanzo ulivyopost vimetumia neno "merge"? Je, ku merge maana yake ni kufutwa?
Ni yamefutwa siyo kuunganishwa,ukitaka kujua yamefutwa angalia al ahly ana makombe mangapi ya shirikisho?

Hoja yenu ya UEFA mmeikwepa na maswali yangu ya msingi hamjibu
Hayo makombe issa hayatou alikua anakopi UEFA,wakifuta na yeye anafuta
 
Back
Top Bottom