Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

Taarifa Rasmi kwa Umma: Yanga ni bingwa mara 25, Simba mara 22

Wanasema "hauna haki ya kuongea kama kwanza haujafanya utafiti wa hilo unaloongelea".

Taasisi ya R.S.S.S.F. (Rec.Sport.Soccer Statistics Foundation) ni taasisi kubwa duniani ambayo imekuwa inafanya kazi ya kutafiti na kuhifadhi takwimu za soka duniani kwa miaka mingi. Hii si taasisi ya vichochoroni na ina wawakilishi dunia nzima wanaosaidia kukusanya na kuchakata hizi takwimu.

Katika tovuti ya R.S.S.S.F wameripoti kuwa Yanga imewahi kuchukua ubingwa mara 25 tu. Katika rekodi zao, Simba imechukua ubingwa mara 22.

Katika miaka ya hivi karibuni, Yanga imesambaza propaganda kuwa ni bingwa mara 30 hadi katika vile vitenge vyao wakaweka nyota 3 na wakadanganya wenzao kuwa nyota 3 zinamaananisha ubingwa waliobeba mara 30.

Nadhani kulikalia hili kimya ni moja ya favour aliyowafanyia Rais wa TFF Wallace Karia halafu leo wanamtusi na kumuona hafai.

Nimeambatanisha hapa chini list ya mabingwa kuanzia 1921 hadi 2024 kutoka tovuti ya R.S.S.S.F.

View attachment 3288050
Ukipinga pinga kwa takwimu rasmi kutoka chombo kinachoaminika.
yaani mmepunguza lkn bado yanga anamzidi kolo ubingwa
 
yaani mmepunguza lkn bado yanga anamzidi kolo ubingwa
Wala hatujakataa. Wanaoogopa ni hao wanaotengeneza maubingwa ya mchongo ili kutengeneza gape kubwa wakiogopa watafikiwa.

Halafu ilichukua miaka 33 Yanga kuchukua ubingwa. Nadhani hii klabu ilianza kama kikundi cha wacheza bao na baadae netball, ndiyo maana mpaka leo kwenye mpira mna makandokando.
 
Sasa uongo upo wapi hapo kuhusu fainali kombe ya shirikisho mwaka 1993? Ili iwe uongo inabidi uje useme huyo aliyecheza fainali na Simba mwaka 1993 alicheza na nani katika CAF super cup. Hakuna cha uongo ila watu wa Simba hawapendi kusikia ukweli. Samia na mpira wapi na wapi? Tumsikilize Samia au hao CAF wenyewe?
Usiseme Samia na mpira wapi na wapi. Ile hotuba aliyoitoa si yeye aliyeiandaa bali iliandaliwa na watu wenye akili zao timamu ambao pia walijiridhisha usahihi wa kila fact iliyomo kwenye hotuba ile.

Labda nikuulize wewe, unataka kusema wewe uko informed sana kuliko Kurugenzi ya Mawasiliano ya Ikulu au Archive iliyopo pale Ikulu?
 
Waandishi wa historia ndiyo hawa wanakwambia ni 25 kwa 22. Unaongelea waandishi gani, kina Mzee Mpili?

Timu inapobadili jina hauachi kuhesabu takwimu zake za awali. Ndiyo maana mnapata shida hata kutambua kuwa Simba ilicheza fainali ya shirikisho kisa jina la mashindano limebadilika. Hili ni tatizo lenu sugu.
Basi hao ni waandishi feki wasiojua lolote

Screenshot_20250330-214434_Chrome.jpg
Screenshot_20250330-214444_Chrome.jpg
 
ingawa watani wanauchungulia huu uzi wakiwa mafichoni lakini hata kama hizo takwimu haziko sawa, kuna haja TFF waweke wazi hili suala. Historia sio kitu cha kubezwa, leo hii mashabiki wa ligi ya uingereza hujivunia zile timu waanzilishi wa ligi kama Notts county,Bolton,Aston villa...

Leo kwetu hakuna anayejali historia, nashangaa hapa kumbe Tz ina ligi rasmi tangu 1932 ingawa ya mkoa mmoja, pia nashangazwa na kupotea kwa historia ya timu kama hiyo Arab Sc, Tff ni muda umefika sasa watuwekee wazi hizi taarifa.
 
Wikipedia sio reliable source. Hapo katika mabingwa wote waliorodheshwa huku tunaona Arab sc wakati wikipedia hawajawekwa. Kuna haja TFF waje na majibu kuhusu hili.
Record za michezo yote tangu Ligi ianzishwe zipo Baraza la michezo na Yanga ndiye Bingwa mara 30 inaenda 31
 
Tangu mwaka 1935 unadhani vikombe 30 no vingi mno?
Kuanzishwa mwaka 1935 hakukupi uhalali wa moja kwa moja kuwa bingwa mara 30. Ubingwa unashindaniwa siyo kuamka tu na kusema kwa kuwa nimepigania uhuru na nimeanzishwa mwaka 1935 basi mimi bingwa mara 30.

Al Masry imeanzishwa 1920 ila haijawahi kuchukua ubingwa wa ligi ya Misri.
 
Kuanzishwa mwaka 1935 hakukupi uhalali wa moja kwa moja kuwa bingwa mara 30. Ubingwa unashindaniwa siyo kuamka tu na kusema kwa kuwa nimepigania uhuru na nimeanzishwa mwaka 1935 basi mimi bingwa mara 30.

Al Masry imeanzishwa 1920 ila haijawahi kuchukua ubingwa wa ligi ya Misri.
Mamlaka ndizo zinatambua Yanga Bingwa × 30
 
TFF wana upumbavu mwingi sana. Huwa wananyamazia upuuzi mwingi wa Yanga Kisha wanakuja kugeukwa na Yanga hiyo hiyo mbele ya safari.

Hebu fikiria kitendo cha Yanga kueneza uongo kuwa Simba haikucheza fainali ya Kombe la Shirikisho (CAF) huo mwaka 1993, na kwamba wao Yanga ndo wa kwanza kucheza fainali ya Kombe hilo. TFF badala wajitokeze waeleze mbivu na mbichi wao wakakaa kimya tu hadi ikamlazimu Rais SSH kusema ukweli pale Yanga ilipoenda Ikulu. TFF inafeli sana.
Mlicheza fainali ya kombe ambalo lilianzishwa miaka 11 baadae!?
 

Attachments

  • Screenshot_2025-03-31-00-12-33-037.jpg
    Screenshot_2025-03-31-00-12-33-037.jpg
    264.5 KB · Views: 14
Kweli wewe mbumbumbu jambo la kumuuliza Baba yako historia ya Yanga na Simba unakuja kulishwa matango pori na tahasisi zisizo eleweka!!
 
Mlicheza fainali ya kombe ambalo lilianzishwa miaka 11 baadae!?
Kweli huko wenye akili ni wawili tu 😂 angalau basi ungecrop hiyo pic kufit your narrative kuliko kuonekana zamwamwa. Ni sawa na kusema Uefa cup winner's cup sio Europa league kwasababu Europa imeanza msimu wa 2009-10?
 
Back
Top Bottom