Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,074
- 27,490
Kabla haujakurupuka na kuanza kuita watu vichaa, soma vizuri kwa ufasaha. Usije ukawa wewe ndiyo kichaa usiyejitambua.Kichaa anachekesha akiwa sio ndugu yako. Haya wanamuonea huruma ni ndugu zake yeye hata haelewi kama anachekesha watubaki.
Sawa Yanga hajachukua mara 30 hata Mtibwa nae hajawahi kuchukua ubingwa pia? Au hiyo taasisi uchwara ilikua haijazaliwa bado?
Chanzo chake kimeiacha Tukuyu stars, Coastal Union na Mtibwa ambao hizo zote zimebeba kombe la ligi kuu Tanzania bara. Halafu anakuja kuvimba na kisosi chake uchwara hapa.Kichaa anachekesha akiwa sio ndugu yako. Haya wanamuonea huruma ni ndugu zake yeye hata haelewi kama anachekesha watubaki.
Sawa Yanga hajachukua mara 30 hata Mtibwa nae hajawahi kuchukua ubingwa pia? Au hiyo taasisi uchwara ilikua haijazaliwa bado?
Aliyeandika hivyo si kama wewe tu unaedai yanga kachukua ubingwa mara 25 simba 22,wakati ukijumlisha hiyo miaka hupati jumla ya misimu ya ligi iliyoanza tangu 1965,na unayedai simba alicheza final ya kombe miaka 11 kabla halijaanzishwaKwa hiyo unakana vielelezo ulivyoambatanisha wewe mwenyewe vinavyosema CAFCC imetokana na merger ya mashindano hayo mawili?
Muulize Mtibwa, Tukuyu stars na Coastal Union hawakuwahi kubeba ligi kuu Tanzania bara? Mbona kwenye kisosi chake uchwara anachokiamini hawajawaweka hizo tatu?Aliyeandika hivyo si kama wewe tu unaedai yanga kachukua ubingwa mara 25 simba 22,wakati ukijumlisha hiyo miaka hupati jumla ya misimu ya ligi iliyoanza tangu 1965,na unayedai simba alicheza final ya kombe miaka 11 kabla halijaanzishwa
Haileti mantiki yoyote kwa wewe kutumia chanzo cha taarifa ambacho unapingana nacho mwenyewe. Ni jambo la ajabu sana.Aliyeandika hivyo si kama wewe tu unaedai yanga kachukua ubingwa mara 25 simba 22,wakati ukijumlisha hiyo miaka hupati jumla ya misimu ya ligi iliyoanza tangu 1965,na unayedai simba alicheza final ya kombe miaka 11 kabla halijaanzishwa
Yanga kachukua ubingwa mara 25,simba 22, jumla 47,ligi ina umri wa miaka 60,hiyo miaka 13 alichukua nani ubingwa?..ukijumlisha mtibwa mara 2,tukuyu 1,azam 1,pan africa 1, coastal 1,cosmo 1 haitimizi miaka 13 bali 7,hiyo miaka 6 alichukua nani?Haileti mantiki yoyote kwa wewe kutumia chanzo cha taarifa ambacho unapingana nacho mwenyewe. Ni jambo la ajabu sana.
Yote unayobwabwaja majibu yake yapo katika hiyo orodha niliyoambatanisha katika post ya kwanza. Waambie wenzio wakusaidie kukuelewesha.Yanga kachukua ubingwa mara 25,simba 22, jumla 47,ligi ina umri wa miaka 60,hiyo miaka 13 alichukua nani ubingwa?..ukijumlisha mtibwa mara 2,tukuyu 1,azam 1,pan africa 1, coastal 1,cosmo 1 haitimizi miaka 13 bali 7,hiyo miaka 6 alichukua nani?
Hawezi kukujibu kwa hoja huyo zebwe. Lazima ataruka ruka kama maharage hapo.Yanga kachukua ubingwa mara 25,simba 22, jumla 47,ligi ina umri wa miaka 60,hiyo miaka 13 alichukua nani ubingwa?..ukijumlisha mtibwa mara 2,tukuyu 1,azam 1,pan africa 1, coastal 1,cosmo 1 haitimizi miaka 13 bali 7,hiyo miaka 6 alichukua nani?
afu zingatia kule kwingine wote ni mbumbumbuWenye akili ni wawili tuu...
Zingatia Hilo usiumize kichwa