GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana mkipangiwa kukutana na TP Mazembe FC au hata Pyramid FC au nyinginezo kubwa.
Ushauri wangu kwenu wana Yanga SC kama ikiwapendeza, ili kuepuka aibu na dhahama hebu ongeeni tu na CAF ili muishie hapa hapa mlipotolewa Sudan na mjikite zaidi katika kucheza na Ihefu FC, Kigamboni FC, Kiburugwa FC, Kibada FC na Friends Rangers FC ambako ndiko mnakuweza na kumudu mno.