TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

TAARIFA RASMI: Yanga SC kuanzia nyumbani na timu ngumu CAFCC

Kwani Simba si uwa anatolewa apa apa Taifa akiwa ameanzia ugenini!!![emoji1][emoji1] Labda unasahau mapema, Galaxy, UD Songo, Kaizer Chief. Mbona Mbumbumbu fc mnasahau mapema?
So, since 1998. WAJINGA SN NYIE
 
Mnasumbuka Nini enyi shimb mbofumbofu

Au hamkumbuki mwaka Jana nyie mlicheza champion mkatolewa mkaangukia shirikisho

Mkikumbuka mlikuwa bingwa Vodacom na FA

Na sisi ni bingwa wa NBC na FA

Tunacheza makombe yote, tushacheza champion Sasa tunaenda shirikisho

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my Hope10 Pro using JamiiForums mobile app
Since 1998. WASHENZI KWEL KWEL NYIE
 
Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.

Chanzo: EFM Sports Headquarters

Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana mkipangiwa kukutana na TP Mazembe FC au hata Pyramid FC au nyinginezo kubwa.

Ushauri wangu kwenu wana Yanga SC kama ikiwapendeza, ili kuepuka aibu na dhahama hebu ongeeni tu na CAF ili muishie hapa hapa mlipotolewa Sudan na mjikite zaidi katika kucheza na Ihefu FC, Kigamboni FC, Kiburugwa FC, Kibada FC na Friends Rangers FC ambako ndiko mnakuweza na kumudu mno.
Tate Mkuu
 
Yanga sc na wale wote waliotolewa kwenye CAFCL hawatakutana wao kwa wao na badala yake watakutana na hawa walioanzia shirikisho...


Pyramids fc -Egypt

Future fc - egypt

St eloi limpopo - drc

Motema pembe -drc.

DIABLES NOIRS -CONGO

FAR RABAT -MOROCCO

RS BERKANE
-MOROCCO

CS SFAXIEN -TUNISIA

CLUB AFRICAIN -TUNISIA

AL-NASR -LIBYA

AL AKDAR -SUDAN

USM ALGER -ALGERIA

MARUMO GALANT -S.A

ZESCO UTD -ZAMBIA

SP GAGNOA -IVORY COAST

REAL BAMAKO -MALI

Yanga wajitahidi na wasisahau kufanya maombi na maombezi kwani hapo wanyonge hawawezi kutana wao kwa wao na badala yake mnyonge kama alivyo Yanga ni lazima apangiwe kigogo.
 
Kwani Simba si uwa anatolewa apa apa Taifa akiwa ameanzia ugenini!!![emoji1][emoji1] Labda unasahau mapema, Galaxy, UD Songo, Kaizer Chief. Mbona Mbumbumbu fc mnasahau mapema?

Wazee wa historia!![emoji23][emoji23][emoji23]nyie mmetolewa jana ujue
 
Mtuonyeshe kombe la makundi au la robo fainali mlilochukua vinginevyo mnapiga porojo tu
Maumivu ni makali sana ya kutolewa CL na kuangukia CC kwa kombe la Losers kwa mujibu wa Manara.Mtazoea tu wajirani,kimataifa siyo NBCPL
 
Back
Top Bottom