GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
😂 😂Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana mkipangiwa kukutana na TP Mazembe FC au hata Pyramid FC au nyinginezo kubwa.
Ushauri wangu kwenu wana Yanga SC kama ikiwapendeza, ili kuepuka aibu na dhahama hebu ongeeni tu na CAF ili muishie hapa hapa mlipotolewa Sudan na mjikite zaidi katika kucheza na Ihefu FC, Kigamboni FC, Kiburugwa FC, Kibada FC na Friends Rangers FC ambako ndiko mnakuweza na kumudu mno.
Mkishatunyoosha mnaingia kwenye makundi, au sio!?Mnatukana sana baada ya kuwatoa wale vibonde subirini tuone kama mtafika popote makundi...
Na tarehe 23 hiyooo tunawanyoosha
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Roho mbaya sana wewe. Dua la chura halivuki maji.Mnatukana sana baada ya kuwatoa wale vibonde subirini tuone kama mtafika popote makundi...
Na tarehe 23 hiyooo tunawanyoosha
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hahaha, Weka rank ya CAF hapa ya Hilal na De agosto ili tubishane, kweli wenye akili wawili tu huko!Mnatukana sana baada ya kuwatoa wale vibonde subirini tuone kama mtafika popote makundi...
Na tarehe 23 hiyooo tunawanyoosha
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Huwa nafurahi Sana ukileta Taarifa hata kama ni utani basi uwe sahihi. Drop outs za CAFCL huwa hazikutani kwenye knockout stage. Tunza hiyo itakusaidia Mkuu.Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana mkipangiwa kukutana na TP Mazembe FC au hata Pyramid FC au nyinginezo kubwa.
Ushauri wangu kwenu wana Yanga SC kama ikiwapendeza, ili kuepuka aibu na dhahama hebu ongeeni tu na CAF ili muishie hapa hapa mlipotolewa Sudan na mjikite zaidi katika kucheza na Ihefu FC, Kigamboni FC, Kiburugwa FC, Kibada FC na Friends Rangers FC ambako ndiko mnakuweza na kumudu mno.
Achana na timu yetuuuu!Ni taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana mkipangiwa kukutana na TP Mazembe FC au hata Pyramid FC au nyinginezo kubwa.
Ushauri wangu kwenu wana Yanga SC kama ikiwapendeza, ili kuepuka aibu na dhahama hebu ongeeni tu na CAF ili muishie hapa hapa mlipotolewa Sudan na mjikite zaidi katika kucheza na Ihefu FC, Kigamboni FC, Kiburugwa FC, Kibada FC na Friends Rangers FC ambako ndiko mnakuweza na kumudu mno.
Hizi kauli huwa mnazitoa kila Simba Sc inapoingia makundi, lakini hakuna hata msimu ambao tumewahi kutoka kwenye hatua ya makundi.Mnatukana sana baada ya kuwatoa wale vibonde subirini tuone kama mtafika popote makundi...
Na tarehe 23 hiyooo tunawanyoosha
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Aliyewatoa nyie simba ilimtandika 4 - 1 na kocha wao akafukuzwa!Mnatukana sana baada ya kuwatoa wale vibonde subirini tuone kama mtafika popote makundi...
Na tarehe 23 hiyooo tunawanyoosha
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Na Reggae BoysNi taarifa rasmi na ikufikie popote pale ulipo kuwa kwa sheria mpya za Kombe la Shirikisho, Yanga SC yenye alama za chini itaanzia nyumbani na timu yenye alama kubwa japo imeangukia Shirikisho.
Chanzo: EFM Sports Headquarters
Hivyo Watanzania (hasa wana Yanga SC) msije kushangaa sana mkipangiwa kukutana na TP Mazembe FC au hata Pyramid FC au nyinginezo kubwa.
Ushauri wangu kwenu wana Yanga SC kama ikiwapendeza, ili kuepuka aibu na dhahama hebu ongeeni tu na CAF ili muishie hapa hapa mlipotolewa Sudan na mjikite zaidi katika kucheza na Ihefu FC, Kigamboni FC, Kiburugwa FC, Kibada FC na Friends Rangers FC ambako ndiko mnakuweza na kumudu mno.
Kunywa mkojo wako km hupendi tabia ya simba kwenda group stageMnatukana sana baada ya kuwatoa wale vibonde subirini tuone kama mtafika popote makundi...