William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
Ponda and company wanahaki ya kufanya walichofanya, si kweli kwamba wanawakilisha uislamu na waislamu wa TZ, Ponda will alwayz be Ponda.!!!
Strong, Loud and Very Clear!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ponda and company wanahaki ya kufanya walichofanya, si kweli kwamba wanawakilisha uislamu na waislamu wa TZ, Ponda will alwayz be Ponda.!!!
maneno yako ya kejeli hayafanyi hojayako iwe na nguvu.
a. Ulimwengu anaweza kusema lolote analotaka kusema lakini hoja hupimwa kwa nguvu zake. Yaani kweli wewe unaamini kuwa Bush anakuja kwa ajili ya "Ughaidi"? Kama unaamini hilo unaweza kujikuta bado unaamini kuwa kuna mama na mwanae mgongoni kwenye mwezi!
b. Hivi nchi ambazo si za kighaidi kama Iran, Saudia na UAE wametusaidia kwa kiasi gani kupambana na Ukimwi, Malaria, ujenzi wa barabara n.k ? Jamani tujenge hoja, ni nchi gani inatoa misaada mingi kwa Tanzania? NIna uhakika Marekani haiko mbali.
Hivi kweli watu wanataka Marekani isaidie tu bila kupata chochote? MBona nchi nyingi hatutumii kipimo hicho hicho au kwa vile hatutaki wanachotaka kupata? Hivi Iran kwanini inajaribu sana kuwa karibu na Tanzania?
c. Tatizo siyo kuandamana wanaweza wakaandamana mchana kutwa na usiku kucha wakipenda! Hoja ni kuwa vile vitu vya kitaifa waviweke mbele; wasimame kuwatetea wananchi wenzao na kusimamia masuala ya Taifa. Siyo pale tu yanapogusa Waislamu ndio watu wanakimbilia kuandamana. Hivi mkataba wa Richmond ungeuza kiwanja kimoja cha Waislamu unafikiri kina Issa Ponda wangekaa kimya?
Mie nakwenda kusaka kwenye web wamerekani na watu wengine ambao si wa happa Tanzania wanasemaje kuhusu ujio wa kichaka Tanzania na Afrika. Nikizipata habari ntakuja zibandika hapa, naomba na wengine wasaidie tujuwe the other side wanasemaje?
Mtalii umempa ujiko mkubwa Mkjj kuwa ni Bishop...Bishop wanakuwa na Elimu ya DINI yao, Huyu Mwanakjj hana elimu ya U-bishop..kafundishwa chuki...Ila Muombee AONGOKE aione Haki.
Mtalii Kwa nondo ulizoweka...labda avae miwani ya Mbao...inatosha kuhitimisha Mjadala huu.
Mwanakijiji una matatizo makubwa sana mie sina dawa labda Mbowe anaweza kukutibu matatizo yako, napata shaka na wasi wasi kama kweli uko Marekani.
watu hawaichukii Marekani wanamchukia Bush kama mwenda wazimu ktk dunia hii, anayeshughulika na Ukimwi ni Bill Clinton kipenzi cha wamarekani na duniani kwa ujumla ana mfuko wake unaitwa Bill Clinton Aids Foundation, amekuja nchini na hakuna aliyemzomea bali alishangiliwa na watu wote kuwa ni mtu mwema amekuja kuona na kusaidia janga hili.
Clinton amefanya kazi kwa karibu sana na mzee Mandela kwenye suala la Ukimwi south Africa.
ungekuwa unatumia akili kidogo tu ungepata jibu.nchi zinazoongoza kwa janga la UKIMWI ni south Africa, Botswana, Zimbabwe,Lesotho,Zambia, Namibia, kenya n.k katika msafara wake bwana bush hakuna hata nchi moja ya hizo atapita, umeona hali ya South Africa ilivyo?
jana kama umefuatilia wakati anapanda ndege wachambuzi wote wa Marekani sio Jenerali Ulimwengu walisema anakwenda Africa sababu kuna cold war baina ya Marekani na China kugombea Africa na rasilimali zake, na lingine base ya kijeshi. hakuna aliyesema kuwa kuna barabara au Ukimwi.
Bush si mtu wa huruma aje kuona wagonjwa wa Ukimwi kwetu wakati mafuriko ya Harricune yalipotokea Marekani mwana jana hakuenda kuwaona raia wake sababu ni watu weusi ndio wanaishi eneo lile, misaada ikatoka nchi za kiarabu kuwasiadia wamarekani aibu kubwa, wengi walikufa na kupoteza maisha yao vipi leo awe na huruma na sisi? wakati hana huruma na raia wake wala wanajeshi wake wanaokufa bila sababu ya msingi.
Mwanakjj huwezi kumbeza Jenerali Ulimwengu kisa tu hoja yako ikubalike, Jenerali ni maneno mengine usifananishe kijalida chenu cha Tanzania Daima na kazi za Ulimwengu unatia aibu sana,
any way asiyekujua hakuthamini wewe utamjulia wapi Ulimwengu?
www.raiamwema.co.tz
wewe unajitia uko Marekani naomba uulize Maracois ni nani? au tembelea website ya Jennifer Diaz.
huyu bwana alikuwa anaishi Chicago siku Bush alipovamia Iraq yeye na wenzake zaidi ya elfu kumi waliandamana kupinga uvamizi wa mabavu.hatimaye watu mia tano wakawekwa ndani.
baada ya Mwaka mmoja wa kuvamia Iraq wakandaa maandamano makubwa zaidi ya kumpinga bush akakamatwa na wenzake na kuwekwa Ndani. hivi karibuni ameamua kujiua kutokana na kilio chake kutosikilizwa na Bush.
huyu si muislam ila ni mtu muadilifu.sasa kama kwao watu wamejiua unashangaa nini watu kuandamana Tz? na waliondamana si waislam ila ni wapenda haki na amani.
Inapotokea muislam akahoji kama alivyohoji Professor Kighoma Malima tenda mbovu ya MV BUKOBA anaandamwa na kuambiwa mdini.
nyinyi mmejua kuhoji juzi, Malima na waislam toka mia ya 70.na hata kina bibi Titti Mohamed walihoji mengi na kuambiwa wachochezi na kutiwa ndani.
nakuuliza wewe niambie japo kwa fununu tu Malima amekufa ana mali gani? Magufuri angekuwa muislam na akauza nyumba zile alizouza humu ndani ingekuwa kelele tu kinyume chake anapigiwa chapuo humu kuwa anavaa uwaziri aliteleza mara moja wazungu wanasema ONCE A CHEAT, ALWAYS CHEAT. mnasema kapuya hafai kafanya nini baya? jibu hamna ni udini tu.
unauliza nchi za UAE hazifanya kitu jee chuo kikuu cha Dodoma kitakachokuchukua watu elfu arobain 2009 anajenga PAPA BENEDICT? ni mtoto wa mfalme wa Saudia na wanasoma watu wa dini zote na wakristu ndio wengi hakuna anayelalamika.
KUWAIT imejenga daraja la Rufiji ambalo limebatizwa kuwa la MKAPA huku aliyeomba msaada ni mzee Ruksa cha ajabu hata siku ufunguzi hakualikwa.
leo hii uwanja wa Taifa mnapinga usiitwe JK kisa alyeomba pesa MKAPA.
Mwanakijiji muulize Museveni ananufaika vipi na Middle East baada ya kujiunga na OIC? waulize Msumbiji, tungepata mengi lakini udini umetutawala,mmezuia OIC halafu mnauliza mbona misaada mingi haitoki Middle East? kaulize kilimo cha mpunga bonde la RUFIJI. hivi sasa Aljeria inatoka scholarships mia moja kila mwaka za udaktari kwa serikali yetu.
Chuma.
huyu bwana asikumbue ni Mkatoliki namba moja hana hoja toka aanze kutuma vimakala uchwara kwenye gazeti la Chadema anajiona amekuwa Mwandishi na kuwakebehi magwiji wa fani kama Jenerali Ulimwengu.
kisa alinyimwa nafasi ya kupeleka upuuzi wake kwenye Raiamwema gazeti makni bwana Mwanakjjj hoja za Ulimwengu hata bosi wako makengeza hawezi kujibu.
Mwisho.
Wakoloni walipovamia Africa kuna watu waliwapinga na kupigana nao kama chifu Mkwawa-(Muislam, Abushir,Kinjekitile-muislam lakini wengine wakawakebehi na kuwaona wajinga hawa wazee.
baadaye ndio wakajua athari za mkoloni. kuna watu walipewa gololi na wazungu kuchukua dhahabu kwa kipindi kile hawalaumiwi kwa wakati ule, lakini leo hii Mwanakijiji na expose yako ya nje unashindwa kujua Bush anafuata nini? unadanganywa na mradi wa Malaria ambapo kwa miaka nenda rudi waJapan wanatusaidia? Elimu yetu hatusaidii kujua vision ya Africa. mwambie BUSH ameona waCHINA wamejenga viwanja vinne vya mpira Ghana kabla ya mazungumzo.
kama kuna marafiki wa kweli kwetu baina ya waarabu na wazungu bila ya kuficha nitakwambia ni waarabu.
wao wametusaidia sana tena bila ya masharti.
kule kwetu zanzibar tuliutanua uwanja wa ndege kwa fedhwa za mwarabu.
tumekarabati mahospitali na mashule yetu kwa fedhwa za waarabu.
mabara bara hata stop light za barabarani tumeletewa na waarabu.
ndugu zetu ktk kuhakikisha kuwa tuna vyuo vikuu walitusaidia sana zanzibar sasa ina vyuo vikuu vitatu
zanzibar colledge, zanzibar university tunguu na SUZA na karibu vyote ndugu zetu hawa wametusaidia.
lami na mengine wametusaidia ndugu zetu wa libya mafuta iran na wako njiani kutujengea chuo kikuu.
wataalamu wengi wa zanzibar wamesomeshwa na waarabu kuliko hata ulaya.
kwa hio mkjj waarabu wametusaidia tena bila ya kuunyonya uchumi wetu.
sijasikia kama unazo hadithi za hawa ndugu zetu kutunyonya kiuchumi
na nimesahau BARAZA LETU la Wakilishi linatarajiwa kuhama kutoka Mnazimmoja na kuelekea mbweni ambapo kunjengwa Baraza jengine na waarabu.
kuhusu misaada ya kijamii ndio usiseme ni visima vinggi vimechimbwa kuwasaidia wananchi na mayatima kusaidiwa kielimu, kifedha, kimavazi na mengineo.
kuwa fair mkjj usisukumwe na matashi yako
Islam is crap, I wonder why you guys are wasting your time discussing about bombers! JF wanna be bombed now..I'm quiting...
Naomba niwashauri Waislamu, ukweli ni kuwa, hayo maandamano yanafanyika kwa sababu za kidini na sio za kiuchumi kama ambavyo wamekuwa wakiongea na vyombo vya habari kama vile BBC.
Ufisadi hauanzii nje ya nchi, huwa unaanzia ndani ya nchi siku zote. Swala la Bush kuweka au kuiba dhahabu na rasilimali sio la lazima kama viongozi watakuwa makini. Tumeona kesi za Buzwagi na other mining sections ambapo uozo umefanywa na watanzania wenzetu. Ningewaona kuwa wa maana kama wangeanza kuandamana pale kina Lowassa na Karamagi walivyouza nchi katika mambo mbali mbali. Ningewaona wenye akili na watu wasioendekeza udini kama wangeandamana kwa sababu ya kina Rostam Aziz, unless waseme hawakuandamana kwa sababu ni muislamu mwenzao.
Muwe mnajipanga vizuri ili mambo yenu yasichukuliwe kidini sana.
Point kuwa Bush anaharibu uchumi wa nchi changa, ni critical, na ni muhimu kuliongelea. But, mbona huu uozo wa ndani hatujaukemea. Sijawahi kusikia maandamano ya kiislamu kuponda issue kama BOT, Richmond, Buzwagi, Bulyamhulu, Mererani, Kahama n.k. Zote hizi ni nyeti kwa Tanzania na tena huu ni mkubwa kuliko hata unavyoweza mtu kufikiria. Kuna msemo usemao kuhusu kutokomalia kibanzi katika jicho la nduguyo hali kuna boriti jichoni mwako. Boriti letu ndio huoo ufisadi, sasa tunaanza kumkomalia Bush, wakati mafisadi and vibaraka wa Bush wamekaa humu humu ndani, tena bungeni. Yeye hana shida, ni opportunist kama mfanyabiashara au mwekezaji yeyote, kwa hiyo mawaziri wetu wakiwa vilaza wakakubali, hao ndio mafisadi wa kwanza. Unajua, tusifananishe maswala ya kichumi na issue za mtoto wa kike na kiume, ambapo, mzazi au mlezi unamkemea mtoto wa kiume asimsogelee binti yako ukihofia kuwa ataingia mtegoni. Hapa maswala ya kiuchumi hayaangalii mtu mmoja ni wataalamu wengi. Sema hawa wazee wetu wamekuwa wakiamua wenyenwe bila kuhusisha wataalamu.
Kwa hiyo, mimi sijawaponda sana kuandamana, but waonyeshe pia maandamano katika mambo ya msingi kama ya Richmond n.k, ili watu wasianze ku-judge kuwa complaints zao ni chuki za kidini chini ya mwavuli wa sababu za kichumi.
Bob heshima mbele ndugu yangu,
Hujanisaidia kabisa wangu. Mkuu hili swala I wish ungeiona nafsi yangu, nimeuliza nikiwa na moyo mweupeeee kabisa, nikitaka kujifunza. As my friend said, kwanini watu wasitumie huo uarabu basi? why dini mkuu wangu? Do you want to tell me Islam is Arab and Arab is Islam? JF tunaeleweshana na kweli nina nia ya kujifunza kabisa katika hili!
Yes, nimecite hizo nchi kwa sababu ndo matatizo makubwa yaliko. Haina maana kwamba Sudan is doing any better. Utawala na sheria za Khartoum zimenyanyasa watu kwa minajili ya dini, Darfur ilifika point kwamba watoto wakienda shule wanafundishwa Quran tuu...shule nyingine hawasomeshwi...na sasa ndo hizo marginalization wanalia nazo among other things, Kwa sababu watoto kwa watu wazima zaidi ya kuongea kiarabu na ku-cite Quran......hakuna cha zaidi...you see my point? ukienda Mauritania et al tatizo ni hilo hilo...why dini?????? Thats my questions.
Kuhusu Uhuru wetu waafrika tulilia na rangi..indeed mpaka leo (hata huko US) waafrica wanalia na race siyo dini).....Hata leo ukiniuliza mimi...I will tell you I have no problem with religion whatsoever! my relationship with GOD is my personal business! Kwa nini watu wasitoe hoja zilizojisimamia? Mfano kwa nini Osama asi-wage vita dhidi ya Bush kwa kutumia kigezo kingine..why should he invoke religion? tena yenye followers millions of millions..do you mean is representing the views of the rest? I dont want to believe that! thats my dilemma!