ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Zile Sinema zimetengenezwa na CCM ili wapate kuharalisha ushetani wao usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe
Kumlaumu mwinyi sio kabisa Ila watu wa bara ndio wanaolazimisha wazanzibari waishi watakavyo,huwa najiuliza siku yakijakutokea Kama ya Msumbiji au Nchi za Sahel au Somalia ndio kila mtu atatafuta pa kujisitiriMawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisiccm huu ni uchaguzi gelesha tu lakini mwinyi tayari keshalibaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
CCM hii ya sasa chini ya Bashiru Raia wa Rwanda na polepole ambaye siyo Mtanzania ndiyo imeleta huu ushetani woteUzoefu unaonyesha policcm wamekuwa wakiwazulumu wafuasi wa Upinzani kwa kutekwa,kupigwa,kubambikiwa kesi,kuswekwa rumande na wakati mwingine watu kupotea kabisa.
Sasa sitarajii askari wanaopokea amri haramu au kujifanya ni wanakindakindaki wakasimamia sheria na haki na hata sikumoja CCM haiwezi kukubali kushindwa kwenye sanduku la kura.
Binafsi naona kushindana na mwenye suraha ni ngumu Ila unaweza dili na mfuasi wake,hapo wanaweza salimu maana hao wafuasi wao tunaishi wote kitaa
Sasa Zanzibar watasoma Albadiri zisizo na kikomo mwinyi atabidi kuwa Rais mwenye Ulinzi mkubwa kupita wa museveni wa UgandaKumlaumu mwinyi sio kabisa Ila watu wa bara ndio wanaolazimisha wazanzibari waishi watakavyo,huwa najiuliza siku yakijakutokea Kama ya Msumbiji au Nchi za Sahel au Somalia ndio kila mtu atatafuta pa kujisitiri
Nani aliyeanzisha fujo Kati ya raia na polisi?Mauji Zanzibar yana uhusiano gani na hili?
Km hawapo huru mmewaweka kwanini wamewekwa?Mawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisiccm huu ni uchaguzi gelesha tu lakini mwinyi tayari keshalibaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetani
CCM ndiyo wamelitafuta kwa kuendekeza vitendo haramu vya kishamba na kishetani
Ngoja tusubirie maono yangu nione hatima ya hayo mambo,seems Hadi Magu anawaweka hao watu alishajua watu wenye unasaba na jamii anakotokeaCCM hii ya sasa chini ya Bashiru Raia wa Rwanda na polepole ambaye siyo Mtanzania ndiyo imeleta huu ushetani wote
Hakuna namna inabidi wawepo tu ili Duniani kote wajue Tanzania ni Nchi isiyo na demokrasia chini ya udikiteta wa CCMNani aliyeanzisha fujo Kati ya raia na polisi?
Km hawapo huru mmewaweka kwanini wamewekwa?
Musishupalie musiyo yajua,hao watu wamepihwa wakiwa katika shuhuli zao za kawaida,wamevamiwa na kurushiwa risasi mabomu waliona hayato watoa roho,wewe unaye sema haya Allah akufungue macho uone dhulma inayo fanywa na madhalim wa CCM, la Kama unajitia upofu wa kusudi,nasi akuoneshe hapa hapa duniani,maafiri wakubwa.Labda uwaulize wale wanaowatuma vijana wasio na hatia kujipeleka mstari wa mbele na kupoteza maisha huko wao wakibaki majumbani kwao wanakunywa kahawa.
Hakuna cha wananchi kuvamia chochote hizo ni propaganda za CCM kuharalisha ushetani mauaji yenu, huo ujinga wako bakia nao huko gheto unaposhinda ukivuta BangiMsi singizie CCM, mmehasisha watu wavamie gali lililobeba vifaa vya NEC mnawaambia ilo gari lina karatasi za kura zilizo pigwa tayari.ivi ulitegemea polisi wafanyeje wakati kikundi Cha watu kinavamia gari la NEC lenye vifaa vya kupigia kura? Acheni uchochezi mtaumiza wafuasi wenu kwa upuuzi.
Na ile sijida yake usoni itakuwa inamsutaHivi Mwinyi utakuwa na amani gani kuingia madaraka huku ukiwa umeau na kumwaga damu.
ICC The Hague haipo mbali naeMungufuli anachokitafuta atakipata.