Mmeshashindwa halafu mnahamasisha watu wafanye fujo. Wananchi akili za kuambiwa changanya na zakoMusishupalie musiyo yajua,hao watu wamepihwa wakiwa katika shuhuli zao za kawaida,wamevamiwa na kurushiwa risasi mabomu waliona hayato watoa roho,wewe unaye sema haya Allah akufungue macho uone dhulma inayo fanywa na madhalim wa ccm,LA Kama unajitia upofu wa kusudi,nasi akuoneshe hapa hapa duniani,maafiri wakubwa.
Taarifa nilizonazo mimi sio ulizonazo wewe.Musishupalie musiyo yajua,hao watu wamepihwa wakiwa katika shuhuli zao za kawaida,wamevamiwa na kurushiwa risasi mabomu waliona hayato watoa roho,wewe unaye sema haya Allah akufungue macho uone dhulma inayo fanywa na madhalim wa ccm,LA Kama unajitia upofu wa kusudi,nasi akuoneshe hapa hapa duniani,maafiri wakubwa.
CCM wametengeneza mazingira ya kuwatishia watu vifaa vya JWTZ ili wapate kubaka Uchaguzi Zanzibar pasipo kelele zozoteKwa video zile za vifaru barabarani, hii taarifa haina chembe ya uwongo hata kidogo.
Wewe umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi tu huna taarifa zozote zaidi ya kukariri vya polepole tuTaarifa nilizonazo mimi sio ulizonazo wewe.
Haya maswali gani? Kwani watengeneza ubaya si nao ni binadamu kwani hawavujishi taarifa?Hao wananchi kabla ya kupigwa risasi walijua vipi kuwa masanduku yana alama? Na waliyakagua kwa mamlaka gani?
Maalim atasababisha watu wafe bila sababu za msingi.
Wewe Mbona unaacha usingizi na kutetea uonevu manyanyaso unyama wa CCM?Ni ujinga unaacha usingizi unaenda kutetea mtu awe mbunge
Mimi nashauri yeye Seif ndio awe mstari wa mbeleEti waliona masanduku yenye kura zilizopigwa.......hivi hii inaingia akilini? walionaje? hivi kwanini mnawashawishi watu mambo yasiyo na maana na kuwatuma kufanya vurugu ilihali nyie mmekaa na familia zenu mnaangalia TV? Inasikitisha sana sana
Acha kujibu kwa hisia,tunataka ushahidi wa kweli kuwa kuna karatasi zilikuwa na alama,tumia akili wewe.Haya maswali gani? Kwani watengeneza ubaya si nao ni binadamu kwani hawavujishi taarifa?
Huu ni toto ndio unakusumbua. Kutumia picha ya idi amini unakosa sifa ya kujibiwa hata na Tundu Lissu.Wewe umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu kaburu Mkoloni mweusi tu huna taarifa zozote zaidi ya kukariri vya polepole tu
Haikuingii Akilini kwa kuwa wewe ni mbumbumbu juha zuzu , lakini wenye Akili timamu linawaingia Akilini wanajua kuwa huwa hakuna siri kwenye hujuma dhidi ya haki na wapenda haki ndiyo wamevujisha taarifaEti waliona masanduku yenye kura zilizopigwa.......hivi hii inaingia akilini? walionaje? hivi kwanini mnawashawishi watu mambo yasiyo na maana na kuwatuma kufanya vurugu ilihali nyie mmekaa na familia zenu mnaangalia TV? Inasikitisha sana sana
Wewe acha kutumia Akili za Polepole tumia Akili zako Tambua kuwa hakuna siri kwenye hujuma dhidi ya hakiAcha kujibu kwa hisia,tunataka ushahidi wa kweli kuwa kuna karatasi zilikuwa na alama,tumia akili wewe.
Utoto ni kufikiri kuwa wewe upo sahihi kwenye kutetea ushetani, Utoto ni kufurahia mauaji ukazani kuwa wewe hutakufa siku moja, utoto ni kuishi kwa kutumia Akili za akina polepole Bashiru badala ya Akili zako ingawa ni ndogo mnoHuu ni toto ndio unakusumbua. Kutumia picha ya idi amini unakosa sifa ya kujibiwa hata na Tundu Lissu.
Tatizo lako ubongo wako umejaa minyoo, hujuma gani za kujaza maboksi tick wakati kuna mawakala wa kila chama kwenye kila kituo?Wewe acha kutumia Akili za polepole tumia Akili zako Tambua kuwa hakuna siri kwenye hujuma dhidi ya haki
hao wanao watandika watu risasi itakuwa walle askari wa kirundiDAMU ILIYOMWAGIKA ZENJI HAIENDI BURE
Nilijua utaenda huko nikawa nakutegea nione kumbe ni walewale mbweha, uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho Kipimo cha ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba na kifala lakini hakuna wa kuhangaika nayo, watu wanakomaa na Hoja na kama huna Hoja kojoa upakatwe na cyprian Musiba ulale acha kusumbua watu mitandaoni. Tambua kuwa mawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisiccm na hao hao Polisiccm baadhi huwapa taarifa juu ya uchakachuaji wa CCM.Tatizo lako ubongo wako umejaa minyoo, hujuma gani za kujaza maboksi tick wakati kuna mawakala wa kila chama kwenye kila kituo?