Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Polisi analinda usalama kituoni,wakala analinda kura, maboksi ya tick yatatokea wapi? Ndio maana nakuambia tumia akili wewe dogo.
 
Hii ya kuchukua Polisi kibao Uhamiaji jwtz magereza kibao kwenda kuwajaza Zanzibar na Kuacha Tanganyika Nchi kubwa bila Ulinzi wa kutosha ina maana gani? Kwa si nyie CCM mnapendwa si mnadai mmjenga flyover SGR bwawa la umeme kwa pesa zenu binafsi kwa Hisani za CCM, maendeleo ni Hisani za CCM siyo kodi za watanzania, mnajiamini mnapendwa bara na visiwani iweje kutumia majeshi kuwatishia wananchi? Ni kwani nini hamtaki kuwaachia wananchi waamue wenyewe kwa uhuru wao?
 
Ni kwanini Haki isitendeke? Kwanini serikali inaibeba chama ambayo haibebeki tena? Imeshakuwa mzigo kwa Watanzania ila Jeshi kwa ajili ya maslahi ya watu wachache bado inaing'ang'aniza hiki chama madarakani ya nini? Lissu sema neno[emoji736][emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Maalim anapenda sana damu kumwagika ndio maana humkosi kwenye matamko kama hayo.
 
Maalim anapenda sana damu kumwagika ndio maana humkosi kwenye matamko kama hayo.
CCM ndiyo wanapenda damu imwagike kwa kuendekeza manyanyaso mateso makubwa kwa wapinzani Zanzibar
 
Ahaaa, wanawatishia mbele za watu? Au wanawatishia wapi? Maana sio kila polisi ataipigia Ccm
Muulize Cyprian Musiba na Polepole ambao ni wapanga njama za hovyo na za kishetani zote za CCM si upo nao hapo ulipo, wao ndiyo wanajua mipango yote ya CCM dhidi ya kubaka Uchaguzi Zanzibar
 
Polisi analinda usalama kituoni,wakala analinda kura, maboksi ya tick yatatokea wapi? Ndio maana nakuambia tumia akili wewe dogo.
wewe ndio huna akili Malunde
Nani kakwambia kura za wizi zinatokea Kituoni?
Kituo cha kuhesabia kura za Rais sio hapo
na kura zinajumlishiwa kwingine ambako zitakutana na za kwenye Lorry la Mahindi ambapo zitajumuishwa na zote za vituo hewa
 
Vyama vinavyoshiriki wamepeleka mawakala kwenye vituo ya kupiga kura kwa utaratibu wa sheria za uchaguzi,hao watahakikisha kila kitu kimekwenda sawa..labda mawakala hao hawaaminiki kwenye vyama vyao??kwa nini wateuliwe. Kila mtu hawezi kuwa wakala/mlinzi wa kura,,itakuwa vurugu.. Maalim ameshaona umri umemtupa mkono,amekula nchi vya kutosha,hana cha kupoteza,,ameamua kucheza na maisha ya vijana wadogo sana kwa kucheza na akili zao... The Hague itamhusu huyo mzee
 
Muulize cyprian Musiba na polepole ambao ni wapanga njama za hovyo na za kishetani zote za CCM si upo nao hapo ulipo, wao ndiyo wanajua mipango yote ya CCM dhidi ya kubaka uchaguzi Zanzibar
Acha upuuzi we minyoo mimi si wajui hawa watu kabisa. Ishu za njama unawazushia tu na kueneza uongo.
 
Kama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.
Mambo ya kumshabikia muuaji Ndio mpaka Leo nchi zingine vita tu
Hao wameuwawa usiku wakiwa majumbani mwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…