minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Zanzibar sasa ni kama Somalia jwtz wanaranda randa mitaani kama wapo mogadishuhao wanao watandika watu risasi itakuwa walle askari wa kirundi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zanzibar sasa ni kama Somalia jwtz wanaranda randa mitaani kama wapo mogadishuhao wanao watandika watu risasi itakuwa walle askari wa kirundi
Polisi analinda usalama kituoni,wakala analinda kura, maboksi ya tick yatatokea wapi? Ndio maana nakuambia tumia akili wewe dogo.Nilijua utaenda huko nikawa nakutegea nione kumbe ni walewale mbweha, uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho Kipimo cha ufala hapa JF huwa ni kuisengenya ID ya JF ambayo haitokani na ubatizo msikitini wala kanisani ndiyo maana ID yako ni ya kishamba na kifala lakini hakuna wa kuhangaika nayo, watu wanakomaa na Hoja na kama huna Hoja kojoa upakatwe na cyprian Musiba ulale acha kusumbua watu mitandaoni. Tambua kuwa mawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisiccm na hao hao Polisiccm baadhi huwapa taarifa juu ya uchakachuaji wa CCM.
Wewe unawaza uteuzi mpaka umepitilizaPolisi analinda usalama kituoni,wakala analinda kura, maboksi ya tick yatatokea wapi? Ndio maana nakuambia tumia akili wewe dogo.
Tuwekee ushahidi hapa acha kueneza uongo wa vijiweniZanzibar sasa ni kama Somalia jwtz wanaranda randa mitaani kama wapo mogadishu
Uteuzi wa nini? Mimi nakuambia ukweli acha kuwa unapotosha upuuzi, nini kazi ya mawakala?Wewe unawaza uteuzi mpaka umepitiliza
CCM ndiyo wamevisababisha au unataka CCM iwe inafanya mambo ya hovyo watu wakae kimya? huo si utakuwa uzezeta?Kuna vifo vingine vya kujitakia tu
Ushahidi uletewe hapo gheto kwa Cyprian Musiba? au baadae ukiwa kwa Polepole?Tuwekee ushahidi hapa acha kueneza uongo wa vijiweni
Polisi huwatishia mawakala wanawabambikia kesiUteuzi wa nini? Mimi nakuambia ukweli acha kuwa unapotosha upuuzi, nini kazi ya mawakala?
CCM ndiyo wanapenda damu imwagike kwa kuendekeza manyanyaso mateso makubwa kwa wapinzani ZanzibarMaalim anapenda sana damu kumwagika ndio maana humkosi kwenye matamko kama hayo.
Ahaaa, wanawatishia mbele za watu? Au wanawatishia wapi? Maana sio kila Polisi ataipigia CCMPolisiccm huwatishia mawakala wanawabambikia kesi
mbwa tu haoWako wapi Wasanii wanafiki wa Tanzania
Muulize Cyprian Musiba na Polepole ambao ni wapanga njama za hovyo na za kishetani zote za CCM si upo nao hapo ulipo, wao ndiyo wanajua mipango yote ya CCM dhidi ya kubaka Uchaguzi ZanzibarAhaaa, wanawatishia mbele za watu? Au wanawatishia wapi? Maana sio kila polisi ataipigia Ccm
wewe ndio huna akili MalundePolisi analinda usalama kituoni,wakala analinda kura, maboksi ya tick yatatokea wapi? Ndio maana nakuambia tumia akili wewe dogo.
Acha upuuzi we minyoo mimi si wajui hawa watu kabisa. Ishu za njama unawazushia tu na kueneza uongo.Muulize cyprian Musiba na polepole ambao ni wapanga njama za hovyo na za kishetani zote za CCM si upo nao hapo ulipo, wao ndiyo wanajua mipango yote ya CCM dhidi ya kubaka uchaguzi Zanzibar
Mambo ya kumshabikia muuaji Ndio mpaka Leo nchi zingine vita tuKama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.