Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

"Wananchi wamekuja kukagua masanduku ya kura usiku kama yana kura za wizi huku kiongozi wao akiwa chumbani amelala"... very madness
 
Tatizo sio kusafirisha usiku.
Tatizo hayo masanduku yana kura tayari ndani yake jaribu kuelewa.
 
Unapopewa amri na mwana usalama kwamba ondoka au pisha eneo fulani, ukaidi nguvu ikitumika, hapo mwenye kosa ni nani?
Mwana usalama anayeshiriki wizi nani wa kumuamini?
 
Tatizo sio kusafirisha usiku.
Tatizo hayo masanduku yanakula tayari ndani yake jaribu kuelewa.
Nashagaa hakuna hata mtu mmoja ameweka ushahidi usiopingika kama kuna masanduku yenye kura.
 
Mwana usalama anayeshiriki wizi nani wa kumuamini?
Thibitisha huo wizi kabla ya kupaka watu matope. Watu wanapoteza maisha kwa maneno kama haya yasio na uthibitisho wa aina yoyote.
 
Watu wanajazana ujinga, wameona gari linasambaza vifaa vya kwenda kupigia kura wakaweka hisia zao mbele kwamba masanduku ya kupigia kura Yana kura ndani. Leo ndio kura zinaenda kuanza kupigwa, Mawakala wa vyama watakuwepo kwenye vyumba vya kupigia kura na kabla yakuanza kupiga kura masanduku yanaonekana mbaka ndani kwamba hayana kitu. Aya mambo ya hisia yatasababisha watu kuumia.
 
Seif ni mnafiki sana, hivi inakuwaje unawa brain wash wapiga kura wako kiasi hicho? Let them abide by the law na taratibu zilizowekwa na tume. Walishaambiwa 27 kuna makundi maalumu yatapiga kura then yeye anawapandikiza chuki, nadhani sheria ichukue mkondo wake Seif ashitakiwe
 
Ni ujinga wa wanasiasa, Seif sijui kwa nini anafanya hivyo?
 
Hao wananchi walionyeshwa hizo karatasi na hao maaskari ili kuzihakiki kama zimetiwa tiki? Acheni uzushi wakutaka kuharibu Uchaguzi.
 
Uwo itii wa sheria usiishie kwa raia tuu ila hata kwa wewe mshika bunduki uzijue sheria zako


UNAUWAJE RAIA !!!
Tatizo hizi taarifa za Maalim Seif hazisemi chanzo, wafuasi wa Maalim walihamasishwa wawapige wale Askari kwa mawe halafu wachukue Yale masanduku na zile karatasi wampelekee Maalim ushahidi. Sasa raia na mawe anaweza kumnyang'anya Askari mwenye bunduki na risasi masanduku na karatasi za kupigia kura?
 
Thibitisha huo wizi kabla ya kupaka watu matope. Watu wanapoteza maisha kwa maneno kama haya yasio na uthibitisho wa aina yoyote.
Unauliza au unapigia jibu mstari. Watu hawawataki mnawalazimisha.
 
Maalim Seif, hii haitoshi, let the International community take note of that! Peleka barua iki address ICC, UNSC, EU and to a lesser extent AU (hawa ni club ya dictators, they are of no effect) lkn wapelekee for records!
 
Huo ndo upumbavu wake Maalim. Yeye alionaje hizo karatasi kwamba Zina tiki wakati zilikuwa kwenye maboksi? Au walikuwa wanasambaza wakiwa wamezifungua Kama lile bango analotumia Magufuli kuelekeza watu namna ya kupiga kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…