Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Labda uwaulize wale wanaowatuma vijana wasio na hatia kujipeleka mstari wa mbele na kupoteza maisha huko wao wakibaki majumbani kwao wanakunywa kahawa.
Wamezoea kujitoa mhanga. Waache wajitoe mhanga. Kwa mbali namwona mwingine antazama passport na kuiweka sawa aende nchi kwake Ubelgiji.
 
Hizo karatasi eti zilishatiwa tiki walizionaje wakati ziko kwenye masanduku?

Halafu wanazuiaje masanduku ya kura kusambazwa kwenye vituo? Hawataki yapelekwe?
 
Kuna baadhi ya watu walikua wakishangilia ile video ya askari kupigwa mawe inayosemekana imerekodiwa Zanzibar, Kufurahia matukio Kama yale yanawafanya watu wahisi ukiwapiga Polisi mawe watakimbia.mwishoe ndio Ayo yaliyo tokea Pemba kujaribu kutaka kupora karatasi za kupigia kura wakidhani nikurazilizokwisha pigwa.
 
CCM huko Zanzibar wameshashindwa ndo maana wanatumia Jeshi na Polisi kulazimisha.
Watu wanaona dhuluma wanayofanyiwa.
Kama Jeshi wakiacha Uchaguzi uende Kama unavyotakiwa CCM inafutika Zanzibar
Mtaji wa wanasiasa ni ujinga wa wafuasi wao. Huko Pemba hai waliojeruhiwa ukipata mmoja anajua kusoma na kuandika una bahati. Hai wanafanya kila wanachoambiwa na Maalim hata Kama hakina ukweli wowote. Jiulize Maalim alikuwa wapi akaona makaratasi yamewekewa kura Hadi akaenda kuwaambia wafuasi wayachukue kwa nguvu toka kwa polisi kwa kuwapiga na mawe?
Acheni kupotosha watoto.
 
Kama hao wenye miaka 13 na 16 walikua hapo wanafanya nini Maalim Seif awaambie watu wake wakae nyumbani Maalimu Seif the hague itamuhusu.
CCM bhana,haya mabavu ndio mwisho wa mbinu zenu na soon itakua overcomes
 
Wasanii tutakuwa tunawaonea tu.
Msiwatafutie wenzenu matatizo.
Wewe unatumia fake name HAKUNA anayekujua lakini wenzio wanajulikana mpaka wanapokaa mkiaanza kuwaingiza kwenye uharakati watapotezwa.
Ni sawa, tunachokikataa ni unafiki wao wa kujifanya wanaharakati kwenye mambo yanayotokea kwenye nchi nyingine, wakati nchini mwao mambo hayo hayo yanatokea lakini hawakemei.
 
Unataka ushahidi uletewe nyumbani kwako?.
Watu huko Zanzibar Wana macho au unadhani wanaishi vipofu?
Wewe mbona uko nyumbani kwako na ushahidi HAUNA, unalazimishwa watu waamini uwongo?
 
Kwaivo kuzuia Box la Kura zilizotiwa Tiki hukumu yake ni Kifo?
 
Mwinyi atakuwa Rais kwa njia haramu za kishetani lakini atakuwa mgeni wa ICC The Hague kama ilivyokuwa kwa Uhuru kenyata na Ruto
 
Back
Top Bottom