Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Kama tumeandikiwa kufa tukipambana na mkoloni Mweusi na iwe hivyo!

Walio tangulia wapumzike kwa amani nasi tuko nyuma yao.
 
Ndo waweke masanduku ya kura feki!?
Mtaji wa wanasiasa ni ujinga wa wafuasi wao. Huko Pemba hai waliojeruhiwa ukipata mmoja anajua kusoma na kuandika una bahati. Hai wanafanya kila wanachoambiwa na Maalim hata Kama hakina ukweli wowote. Jiulize Maalim alikuwa wapi akaona makaratasi yamewekewa kura Hadi akaenda kuwaambia wafuasi wayachukue kwa nguvu toka kwa polisi kwa kuwapiga na mawe?
Acheni kupotosha watoto.
 
Hao watoto wa miaka13 na 16 usiku walikuwa wanafanya Nini ktk vituo vya kura mpaka kujeruhiwa kwa risasi
 
Acha ujinga wewe Sasa hao ambao hata kura hawapigi unawaingizaje barabarani watoto?
Maalim achukuliwe hatua kwa alichokifanya.
Ndio maana mnaonekana punguani. Unajibu bila kuchunguza, kisa mahaba kukujaa tuu.
 
Sijawahi kuwaamini ACT wazalendo, kwani ni wa kukurupuka.
 
Ngoja akatusemee kwa
Lissu aseme neno.
amstedamuu.....HV kweli unazuia askari mwenye silaha. na mawe unategemea nn...mnashindwa sahau jeshi duniani kwote limepewa ruhusa kujilinda......
 
Uwo itii wa sheria usiishie kwa raia tuu ila hata kwa wewe mshika bunduki uzijue sheria zako


UNAUWAJE RAIA !!!
Wala usihof mkuu..we andamana Tena na mawe...Tundu Lissu atakutetea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…