Zanzibar 2020 Taarifa ya ACT Wazalendo yasema watu watatu wamefariki kwa kupigwa risasi na Polisi huku tisa wakijeruhiwa Zanzibar

Kuna harufu ya nguvu za wananchi kuripuka,lile wanaloliomba watawala lipo njiani,hata wakijipa ushindi,Zanzibar kuna harufu ya Mapinduzi na ushindi kwa Wazanzibar.
 
Maalim Seif, hii haitoshi, let the International community take note of that! Peleka barua iki address ICC, UNSC, EU and to a lesser extent AU (hawa ni club ya dictators, they are of no effect) lkn wapelekee for records!
Mwinyi na miccm yote isombwe kupelekwa ICC The Hague iwe fundisho kwa mashetani wengine waliosalia
 
Mambo yanatokea nchi za wengine hayana impact kwa uongozi wa Tanzania..
Leo hii msanii aandike "PRAY FOR ZANZIBAR".
wataanza kumtafuta kwa kila namna.
na isitoshe uanaharakati mtu halazimishwi awe upande gani..
Tanzania imechafuka mzee.
Jiulize Ben saa 8 yupo wapi?.
Roma yupo wapi?.
Na wao Wana familia zao .uraiani pazuri.
Ni sawa, tunachokikataa ni unafiki wao wa kujifanya wanaharakati kwenye mambo yanayotokea kwenye nchi nyingine, wakati nchini mwao mambo hayo hayo yanatokea lakini hawakemei.
 
Kuna harufu ya nguvu za wananchi kuripuka,lile wanaloliomba watawala lipo njiani,hata wakijipa ushindi,Zanzibari kuna harufu ya mapinduzi na ushindi kwa wazanzibari.
Mwinyi atabaka Sanduku la kura atakuwa Rais kwa njia haramu za kishetani lakini hatakuwa na baraka ridhaa ya wananchi wa Zanzibar itabidi kutawala kwa shida kubwa kwani watamuandama na Albashiri mpaka azeeke ghafra na kufa
 
Bado unavuta Bangi ? Acha ufala wako usifikiri watanzania ni wajinga kama wewe
Hapana, watanzania sio wajinga, ila wewe ndio mjinga kutumia picha ya idi amini kama utambulisho. Historia ni somo muhimu kwako.
 
Hapo ndipo kuna uchakachuaji wizi mkubwa na jwtz Nusu ya vikosi wapo Zanzibar iweje jeshi lote lihamishiwe Zanzibar kuna ajenda gani? Haya ni matumizi mabaya ya jeshi
Jeshi la wananchi limeondoka na Mwamnyange, hili la sasa nijeshi la CCM.
 
Nyie washenzi mwageni damu zawatu kisa kusaka madaraka, lkn nakuambia huyo zezeta wenu wa ccm hatokuja kuwa raisi Zanzibar.
CCM inawalazimisha wazanzibar kutawaliwa na mkazi raia wa lindi asiye mzaliwa wa Zanzibar
 
Waliorusha mawe kurekodi na kuisambaza ni wanausalama wenyewe ili wapate pa kuanzia.
 
Ngoja akatusemee kwa

amstedamuu.....HV kweli unazuia askari mwenye silaha. na mawe unategemea nn...mnashindwa sahau jeshi duniani kwote limepewa ruhusa kujilinda......
Huyo Asikari yeye ndiyo ana haki za kwenda kuwaonea watu? Ukionea Raia wasio na bunduki wanajihami kwa mawe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…