Abraham2020
Member
- Oct 8, 2020
- 41
- 12
Kama utaki maisha ya watu yapotee kuwa wakwanza / balozi wa kuimiza hao watu watii sheria bila shurti mbona unakuwa mjinga mjinga mgumu kuelewa mambo yet kila ki
Mara hii tutatumia kila kitu chetu,kuhakikisha Zanzibari inakombokaDr Shein alikua na amani kwa miaka 10, itakua Mwinyi?
Watu wanajazana ujinga, wameona gari linasambaza vifaa vya kwenda kupigia kura wakaweka hisia zao mbele kwamba masanduku ya kupigia kura Yana kura ndani. Leo ndio kura zinaenda kuanza kupigwa, Mawakala wa vyama watakuwepo kwenye vyumba vya kupigia kura na kabla yakuanza kupiga kura masanduku yanaonekana mbaka ndani kwamba hayana kitu. Aya mambo ya hisia yatasababisha watu kuumia.
[emoji15]walijuaje Kama zinatiki tayari?Kwa mujibu wa Maalim Seif, polisi walikuwa wanasambaza karatasi za kupigia kura katika vituo, wananchi walidai baadhi ya karatasi hizo zilikuwa zimeshatiliwa tiki kwa baaadhi ya wagombea
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji2827][emoji2827][emoji2827][emoji2827]
Umepata wapi hizo taarifa ?
Kutumia cheo cha kuwa waziri wa ulinzi kuwasomba JWTZ kwenda kuwajaza Zanzibar wawatishe watu matokeo yake CDF atapata shida za kupelekwa ICC The Hague kujibu mashitaka kwa unyama waliofanya ZanzibarWaoneshwe Mara ngapi?.
Unadhani wazanzibar NI vipofu?..
Huyo mwinyi hapo bila polisi na JWTZ HAPITI.
Kutumia cheo cha kuwa waziri wa ulinzi kuwasomba jwtzccm kwenda kuwajaza Zanzibar wawatishe watu matokeo yake CDF atapata shida za kupelekwa ICC The Hague kujibu mashitaka kwa unyama waliofanya Zanzibar
CCM wanafurahia mauaji ili wapate madaraka.Mwanakulitafuta mwanakulipata. Askari wanapeleka masanduku yakupigia kura ww raia unawazuia Tena kwa fujo. Huko vituoni hakuna mawakala wa ACT ambao wangeyakagua hayo masanduku?
Jana tumeoneshwa humu video raia wakiwapiga mawe Askari hukohuko Zanzibar na watu humu wakawa wanafurahia.
Haya ndio matokeo
Kama tumeandikiwa kufa tukipambana na mkoloni mweusi na iwe hivyo!
Walio tangulia wapumzike kwa amani nasi tuko nyuma yao.
Asikari anayeshiri uchakachuaji wizi wa kura yeye ana haki za kufanya hivyo vitendo haramu vya kishamba na kishetani? Hizo sinema za kurusha mawe zimetengenezwa na CCM ili kupata kisingizio cha kuwainea kuwaua RaiaMwanakulitafuta mwanakulipata. Askari wanapeleka masanduku yakupigia kura ww raia unawazuia Tena kwa fujo. Huko vituoni hakuna mawakala wa ACT ambao wangeyakagua hayo masanduku?
Jana tumeoneshwa humu video raia wakiwapiga mawe Askari hukohuko Zanzibar na watu humu wakawa wanafurahia.
Haya ndio matokeo
Hakuna kitu kama hicho.Mwinyi atakuwa Rais kwa njia haramu za kishetani lakini atakuwa mgeni wa ICC The Hague kama ilivyokuwa kwa Uhuru kenyata na Ruto
Kwani na wewe unaishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu Mkoloni kaburu mweusi na akina polepole?Hakuna kitu kama hicho.
Huko vituoni hakuna mawakala? Raia anazuia km nani? Na amejuaje km kunakaratasi zilizotikiwa?Asikari anayeshiri uchakachuaji wizi wa kura yeye ana haki za kufanya hivyo vitendo haramu vya kishamba na kishetani? Hizo sinema za kurusha mawe zimetengenezwa na CCM ili kupata kisingizio cha kuwainea kuwaua Raia
Wewe umekaa mbele ya keyboard? Acha ufala wako Yaani CCM mnafanya mambo ya kishamba haramu ya kishetani mnataka watu wakae kimya?Mmekaa nyuma ya keyboard mnawahamasisha watu wajitoe mhanga alafu kwa unafiq mkubwa mnajidai kuwaonea huruma. Kunasiku mtalipia uo ujinga mbao mnaufanya.
Nani aliyeanzisha fujo Kati ya Raia na Polisi?Mauji Zanzibar yana uhusiano gani na hili?
Mawakala hawapo huru wanaingiliwa na Polisi huu ni Uchaguzi gelesha tu lakini mwinyi tayari keshalibaka sanduku la kura kwa njia haramu za kishetaniHuko vituoni hakuna mawakala? Raia anazuia km nani? Na amejuaje km kunakaratasi zilizotikiwa?
Polisi na CCM ndiyo chanzo kwa kuwafanyia upinzani vitendo vya hovyoNani aliyeanzisha fujo Kati ya raia na polisi?