Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Huyu brother Ushimen alihamia Dar? Maana mm binafsi nimeona nae Dodoma 2020 kwenye kalakana yake alinipa ushauri mzuri Sana wa kibiashara japo kipindi kile ujana unalikuwa unanisumbua....Namuombea uponyaji mwema.
 
Mungu amutangulie apone
 
Pole sana ushimen
 
get well soon brother Ushimen
 
Pole sana brother Mungu amjaalie apate unafuu na arudi ktk afya yake njema .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…