Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Lolote baya likukute.

Sifurahishwi na maendeleo yako ya kiafya.
Tlaatlaah unakumbuka Jana kwenye ule mjadala WETU huyu member ni mfano halisi ya watu ambao kina Erythrocyte walikua wanawasema.
Let's say mtu kapata ajar ana Maumivu,kapitia heka heka nyingi,shughuri zake zimesimama,anaitaji faraja na upendo alafu mtu mmoja from know where analeta mizaha,lugha yenye maudhi, maneno ya chuki , matusi N.k

Haipendezi hata kidogo ni bora kupita kimya kimya kuliko kutoa lugha zisizo faa
 
Ong'wise Ushimen seba akujiwe ? Nilikuwa napanga kuja Muhimbili muda wa jioni maana nilikuwa na appointment na Mshana kapata dharura na Mimi nimepata dharura jioni nitajitahidi inshallah
Sante mkuu, nimeruhusiwa kutoka Muhimbili na sasa tupo Kigamboni.
Check na Mshana Jr atakuelekeza ninapo patikana.
 
Back
Top Bottom