hydroxo
JF-Expert Member
- Oct 19, 2015
- 3,553
- 7,334
Duuh kwa mdada siwezi kushangaa.Kuna dada mmoja aliwahi kunichukia sana hapa, sasa tulipo kuja kutana kwenye party flani 2016 akaja niambia......
Eti alikua anaichukia avatar yangu....😂
Wapo so emotional.
Huyu ni mwanaume inashangaza Kidogo!