Duuh kwa mdada siwezi kushangaa.Kuna dada mmoja aliwahi kunichukia sana hapa, sasa tulipo kuja kutana kwenye party flani 2016 akaja niambia......
Eti alikua anaichukia avatar yangu....π
Mungu akuponye zaidi UshimenYour prayers mean the world to me..
Tlaatlaah unakumbuka Jana kwenye ule mjadala WETU huyu member ni mfano halisi ya watu ambao kina Erythrocyte walikua wanawasema.Lolote baya likukute.
Sifurahishwi na maendeleo yako ya kiafya.
Dogo punguza usenge wako basi π€£π€£π€£Lolote baya likukute.
Sifurahishwi na maendeleo yako ya kiafya.
Asante kwa maombi jirani...πGlad you are back jirani... Aaagh yaani aisee nimefaarijika sana kukuona. Ulinipa mawazo sana tulivyoongea... Mungu aendelee kukupa uzima bro
Sante mkuu, nimeruhusiwa kutoka Muhimbili na sasa tupo Kigamboni.Ong'wise Ushimen seba akujiwe ? Nilikuwa napanga kuja Muhimbili muda wa jioni maana nilikuwa na appointment na Mshana kapata dharura na Mimi nimepata dharura jioni nitajitahidi inshallah
Thanks again...Duh pole sana mkuu
Namshukuru Mungu kwa ajili yako nilitaka kuja Jana nikaambiwa umeruhusiwa.tuna furaha Sana.Sante mkuu, nimeruhusiwa kutoka Muhimbili na sasa tupo Kigamboni.
Check na Mshana Jr atakuelekeza ninapo patikana.
Nasi tunasema asante kwa maombi yenu..πNamshukuru Mungu kwa ajili yako nilitaka kuja Jana nikaambiwa umeruhusiwa.tuna furaha Sana.
Amen...πPole sana mkuu, Mwenyezi Mungu aendelee kukuponya.