Taarifa ya ajali: Mwana JF mwenzetu Ushimen kapata ajali mbaya na sasa yuko Muhimbili hospital

Pole sana kwa changamoto uliyoipata ndugu mjumbe Ushimen natumaini pia maendeleo yako ni mazuri na unaendelea kupata ahueni. Ujaliwe kupona haraka na urudi katika shughuli zako za kawaida.
 
Mbarikiwe sana wapendwa 🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…